Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

IMG-20171218-WA0007.jpg
 
UTABIRI WA HALI YA MTOTO WAKO HAPO BAADAYE..
1.Akitumwa hataki kurudisha change, huyo mlipoti haraka takukuru mla rushwa huyo
2.Akikutana na wenzie anajidai kuwa kwao kuna pesa nyingi wakati wewe huna kitu -huyo bongo move.
3.anakatalia kwenye dishi wakati wa kuogeshwa, thank God, huyo atakuwa dereva wa ferry/boat...
4.akitumwa anaomba pesa ya peremende, umepata trafiki hongera...
5.Analala chini ya meza, viti,na hujichafua, huyo fundi makenika...
6.Analala sana Darasani, congratulations! huyo ni Mbunge
7.Ukimchapa nalia lakini ukimuita anakuja bila kuogopa-huyo ni Arsenal wenger.
8.Anabembea kwenye viti ,meza nk.huyo ni kondakta usipoteze muda
9.haogopi giza hata kama ni saa ngapi, huyo atakuwa mlinzi wala usiogope
10.Anakuomba pesa ya pipi anarudi na biskuti huyo wema sepetu huyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani kwa wale wote ambao wanaohitaji Mikopo kipindi hiki cha sikukuu na mwisho wa mwaka na wako serious please inbox me ili tuone namna ya kukupatia.

Binafsi nina Mikopo kibao haina kazi, nimepandia maua mingine imebaki.
 
"Cheka Kidogo"
Mtanzania Na Mkenya Waliingia Kwenye Super Market Moja Huko Jijini Nairobi, Baada Ya Kuzunguka Huko Ndani Walitoka, Wakiwa Njiani, Mkenya Alianza Kujitamba Kwa Mtanzania,
Mkenya: Tumezunguka Huko Ndani Lakn Haukuiba Hata Chochote, Mim Nimeiba Chocolate Mbili Na Hizi Hapa Mfukoni,
Mtanzania: Loh! Hilo Tu, Ebu 2rudi Nikakuonyeshe Kuwa Mimi Ni Mtaalamu Wa Kuiba. Mkenya Akakubali Kurudi, Walipofika Huko Super Market Wakaenda Direct Kwa Muuzaji, Mtanzania Akamwambia Muuzaji 'ebu Nipe Chocolate Mbili Nikuonyeshe Mazingaombwe' Muuzaji Akatoa Chocolate Mbili,
Mtanzania Akizila Zote Mbili Kisha Akamwambia Muuzaji, Chocolate Zako Ziko Mfukoni Mwa Huyu Jamaa.
 
Unakuta MTU mwaka Mzima
Umehudhuria
birthday parties 20 , misiba 30 ,
Mikutano kanisani 40 , Ndoa 80 na bado uko Single Kwani wewe ni turubai jaman??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mume anagombana na mkewe:
mke: we mwanaume ni mpumbavu!
mume: (kimya)
mke: mwanaume surual!i
mume: (kimya)
mke: mwanaume dakika moja tu chali!
mume: we ongea yote hakuna litakaloniumiza..
mke: una akili za kikondoo
mume: (kimya)
Mke akafikiria akakumbuka mumewe ni shabiki wa man u, akaanza tena;
mke: we lukaku...
mume: we pumbavu sasa naona unavuka mipaka. Ukirudia tena kuniita hivyo ukusanye na nguo zako kabisaa uondoke!
😀😀😀😀
 
HUJACHEKA
LEO
HAYA
CHEKA
KIDOGO
Mtoto wa kike alimwambia mama yake:
Mama wahuni wa pale wana roho mbaya, nimewaambia waniangulie maembe wakaniambia nipande mwenyewe.
Mama akajibu: wale walikua wanataka kukuchungulia tu chupi yako.
Mtoto akajibu: aah unafikiri mm sina akili ! Nimeivua chupi kwanza ndo nikapanda...!!!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom