Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafik angu kachora tatoo ya jina la dem wake juzi... leo kaskia dem wake anaolewa nipo nae apa tunasubiri pasi ipate moto...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
😀😀😀😀Mume anagombana na mkewe:
mke: we mwanaume ni mpumbavu!
mume: (kimya)
mke: mwanaume surual!i
mume: (kimya)
mke: mwanaume dakika moja tu chali!
mume: we ongea yote hakuna litakaloniumiza..
mke: una akili za kikondoo
mume: (kimya)
Mke akafikiria akakumbuka mumewe ni shabiki wa man u, akaanza tena;
mke: we lukaku...
mume: we pumbavu sasa naona unavuka mipaka. Ukirudia tena kuniita hivyo ukusanye na nguo zako kabisaa uondoke!
Mamamaaaaa!Hakuna kitu kinauma kama upo ugenini kitu kinapotea, afu unawasikia wenye nyumba wakisema, "hatujawai kupotelewa kitu humu ndani"
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]HUJACHEKA
LEO
HAYA
CHEKA
KIDOGO
Mtoto wa kike alimwambia mama yake:
Mama wahuni wa pale wana roho mbaya, nimewaambia waniangulie maembe wakaniambia nipande mwenyewe.
Mama akajibu: wale walikua wanataka kukuchungulia tu chupi yako.
Mtoto akajibu: aah unafikiri mm sina akili ! Nimeivua chupi kwanza ndo nikapanda...!!!
siwezi kuishi bila weweNiko tayari kufa kwa ajili yako