Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Ni vyema tukaoneshana sehemu zetu za siri
Kesho naonesha sehemu zangu za siri Nitaanza na sehemu ninayopigia jimu, pili ninayovutia bangi, tatu sehemu ninayonywea viroba we endelea kuficha sehemu zako za siri cku moja tutazijua tuu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Yaani huu umri niliofikia nilifikiri nimeona yote ya duniani kumbe looh bado kabisaa leo si nimekutana na msukuma kachora tattoo ya M-PESA [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
IMG-20180326-WA0001.jpg
 
Chemistry class in Tanzania kwa kiswahili

"Heliamu na nitrojeni zikikongamana kong'okong'o zasawasha bakshishi ya samawati selusheni iliyo na efevensi..."
This alone will make you drop out of school and become a witch doctor...
Hahahahahaah
 
Mimi nilikuwa wa pili kutoka kushoto, wa pili kutoka mwisho na wa mwisho kabisa Je wewe?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] View attachment 725014
Mhh kaka,hiyo ngwindi piga mixer....dry wachana nayo kabisa,wa pili kutoka mwisho?
 
mpenzi wako akikuacha bila sababu yeyote chukua simu mpigie mama yake mwambie mwanao amefariki

haiwezekani ulie peke yako watu tushavurugwa

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]​

Hahahaaaaaaaa......!!!!!
You made my day
lazima nifanye hii kitu khaaa....
 
Mvuta Bangi kaposa mtoto wa kike mwembamba sana. Siku ya harusi mama mtu akamzungushia mwanae magazeti aonekane kajazia walau Katako.Harusi ikapita,Muda wakulala jamaa akataka haki ya ndoa.Kumvua nguo akakuta Gazeti kila akichana anakuta gazeti lingine,Akachoka!!akauliza kwa ukali..kwani vipi?Bibi harusi akajibu sijui mama..!!Jamaa akampigia simu mama mkwe...Hallow mama mkwe..Uchi wa mwanao upo Ukurasa ngapi?mama hoi.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukimuona mbwa harusini usimpige mawe wala kumfukuza yawezekana kilichomleta pale ndo kilichokuleta pia

[HASHTAG]#Hamna[/HASHTAG] tofauti
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom