Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Unakwenda mikadi, sunrise au coco beach eti ndio unasema unakula maisha. Hawa wasemeje?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
IMG-20180328-WA0003.jpg
 
NIKIKOSAGA KAZI YA KUFANYA HUWA NAFANYA VI2 VYA KIJINGA
Leo nilifikir nikaikumbuka ile methali ya wahenga isemayo maji na mafuta havichangamani......
Nimejipaka mafuta mengi mwilini kisha huyooo baharini.....
Sikumbuki vzr kilichotokea ila nilivyozinduka watu walionizunguka wakanambia niwashukuru wavuvi.....nadhani watakuwa wamenipa samaki....
 
Ukiokota elfu 30 mahali popote usichukue hiyo ni kiJudas kimetupa kikienda kujinyonga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dada mmoja alikwenda kwenye duka la wanyama kununua kasuku.
mambo yakawa hivi:
DADA: Nimekuja kununua kasuku.
MMILIKI: Nina aina mbili ya kasuku aina ya kwanza anarudia kila kitu unachozungumza na aina ya pili anafikiria mwenyewe kisha anazungumza"
Je ww unamtaka yupi?
DADA: Nadhani namtaka anayefikiria mwenyewe.
(MMILIKI akamletea dada kasuku kulingana na alivochagua kisha akaambiwa amfanyie majaribio.)
DADA: Naonekanaje?
KASUKU: Unaonekana kama kahaba.
DADA: "...kwa hasira..." "Siwezi kununua kasuku kama huyu! Hana adabu!"
MMILIKI: Samahani dada naomba unisubili kidogo.....(akampeleka kasuku nyuma ya duka na kumzamisha kwenye ndoo ya maji kisha akamuonya, "kama ukirudia tena kumkosea adabu yule dada ntakuja nikuloweke kwenye maji siku nzima.
". MMILIKI aliporudi kaunta akamuomba dada amjaribishe kasuku kwa mara nyingine na akamsihi akisema ".kwa sasa unaweza kumuuliza chochote naamini atakujibu vizuri bila matatizo yoyote"
MAJIBIZANO YAKAWA KAMA HIVI:
DADA: Kama nikirudi nyumbani usiku wa manane na nikaja na mwanaume huyo mwanaume atakuwa ni nani?
KASUKU: Mume wako!
DADA: Vizuri! vipi kama nikija na wanaume wawili?
KASUKU: Mume wako & shemeji yako.
DADA: Vzuri! Vizuri sana" kama nikija na wanaume watatu je?
KASUKU: Atakuwa ni mume wako,shemeji yako na kaka yako!
DADA: Waooooooo!!! Vipi kama nikija nyumbani na wanaume wanne?
KASUKU: (Akageuka nyuma akamwangalia miliki wake ) . . . . kisha akasema "Tafadhali kaniloweke kwenye maji, nilishasema mapema kwamba huyu mwanamke ni kahaba!!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yan vidada vya sikuizi kwa kudeka!! Naimagine ingekua ndo Musa aliambiwa avuke bahari ya sham na vidada vya type hii lazma tu vingemchelewesha
Vikianza kupiga Selfie zao utasikia "chilling with Musa" "in the middle of the sea* [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani karibuni kwangu kula Pasaka, ni mbagala rangi tatu karibu na mlimani city njia ya kuelekea feri nyuma ya ubungo plaza kama unaelekea masaki njia ya kibaha kuelekea lindi, kama unatokea morogoro ilipoungana na kutokea sinza[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Nyie si mmeninyima mwaliko wa kula Pasaka "Mkumbuke Eid haiko mbali" [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Mkuu umejuaje!?nimekutana nalo leo ikabidi nicheke tu
 
Ayee April babies mbona hampigi kelele kama wale wengine husema Legends were born in March......
Queens were born in February
ama mnadhani mkinyamaza hatujui 'Fools were born in April'

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mafans wa Chelsea msisahau kua leo ni fools day,,,, hii kitu naona kwa TV eti Tottenham 3-1 wanadhani hatujui leo ni lini

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukichanganya maji ya limao vijiko vitatu, unga wa muhogo nusu kijiko cha chai, maganda ya karanga mbichi zile nyekundu, majivu ya ndizi mshale zilizochomwa, mafuta ya mkia wa kondoo, unga wa njiti za viberiti, robo kikombe cha mkia wa pweza, na tui la nazi, unavyosoma kwa makini..... [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] mi hata sijui ukichanganya unapata nini, we endelea tu usiwaze ujinga! [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom