Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

tapatalk_1539530284686.jpeg
 
MSUKUMA hata afanye kazi benk, atasema bado yupo kibaruani...! Sasa ngoja MPARE afanye kazi kwenye mashine ya kusaga na kukoboa, UTASKIA... " I work as a crushial engineering in a monocotyledon fydelyzing company.. [emoji112][emoji114][emoji114]!... Wapare popote mlipo agizeni[emoji493][emoji503][emoji504]! ntakuja kulipa
Mpare kumbe anaongea kingereza
 
pata picha mdada umeenda na mzazi wako kanisani halafu padri anasema naomba bikra wote mpite hapa mbele,,,,,,sasa ile umebaki.....hilo jicho analokutupia mzazi unadhani linaashiria nini?
 
nlimuuliza dada mmoja....
mimi: dada hivi kwann wewe kila un apopatwa na shida ndo unakumbuka kwenda kanisani?
dada;😵 hivi weweeh ushawahi kwenda hospitali?
mimi:ndiyo dada🙂🙂🙂🙂🙂
dada;😕😕unaendaga wakati gani?
mimi pale tu...ninapoumwa😉😉😉😉😉😉
dada:na pindi unapopewa dozi wakati huumwi nini kinaweza kutokea?
mimi:mmmh! kwa kweli waeza kuzidiwa ama kufa kabisa dadangu!
dada:sasa nenda kamwambie huyo shetani aliyekutuma.. maswali ya kipuuzi sipendagi mimi..😡😡😡
mimi:duuh!😱😱😱😱😱
 
Faida 3 za uvutaji wa sigara😂👇✔
FAIDA KUU TATU ZA SIGARA
1. Mvuta sigara hazeeki
2. Mvuta sigara haumwi na mbwa
3. Mvuta sigara nyumbani kwake haingii mwizi

UFAFANUZI

1. Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu

2. Haumwi na mbwa kwa vile kifua na mapafu yanapooza na hulazimika kutembea na bakora

3. Nyumbani kwake haingii mwizi kwa kuwa inafika wakati ambapo halali:
atakohoa usiku kucha hivyo mwizi anajua yupo macho
kumbe kikohozi tu!

😁😁😁😂😂😂
 
Kama mpezi wako akikuita MAMITO Unatakiwa umjibu hivi
Akina dada mpenzi wako akikuita MAMITO usikubali
na yeye mwite MAFORONYA kama mbwai na iwe mbwai

😁😁😁😂😂😂
 
Faida 3 za uvutaji wa sigara[emoji23][emoji116][emoji818]
FAIDA KUU TATU ZA SIGARA
1. Mvuta sigara hazeeki
2. Mvuta sigara haumwi na mbwa
3. Mvuta sigara nyumbani kwake haingii mwizi

UFAFANUZI

1. Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu

2. Haumwi na mbwa kwa vile kifua na mapafu yanapooza na hulazimika kutembea na bakora

3. Nyumbani kwake haingii mwizi kwa kuwa inafika wakati ambapo halali:
atakohoa usiku kucha hivyo mwizi anajua yupo macho
kumbe kikohozi tu!

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu sina jaman mnihurumie du kweli tunasahau maisha magumu ya mtanzania
 
Back
Top Bottom