Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Unaenda kutambulishwa nyumbani kwa mpenzi wako halafu baadaye unasikia sauti jikoni wanaongea "Umekiona kile kichwa". πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜€
 
Mmiliki wa kiwanda cha chupi alikuwa na wakati mgumu kugundua kwanini kila mara kuna upungufu wa chupi. Wakati wa kutoka kiwandani kila mfanyakazi alipekuliwa na kila kitu kilikuwa sawa. Taratibu zote za uchunguzi, upekuzi na usalama ziliwekwa vizuri kabisa. Wakaguzi wa mahesabu walifanya ukaguzi na kukuta kila kitu kipo sawa na hakuna mfanyakazi aliyekamatwa lkn stock ilizidi kupungua. Staff wote wakati wa kutoka nje ya kiwanda walipokaguliwa walikutwa na chupi moja kila mmoja na hakuna aliyekutwa na zaidi ya chupi moja. Hivyo basi, siku moja dada mpika chai alifikiria NJE YA BOX na kumwambia Boss wake kwanini usiwaambie Askari wakaguzi wawakague staff wote wanapoingia kazini?. Mmiliki wa kiwanda alishikwa na bumbuazi na mshangao ambao hajawahi kuupata maishani alipoambiwa kwamba MENEJIMENTI NA STAFF WOTE HAKUNA HATA MMOJA ALIYEKUTWA KAVAA CHUPIπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜‚. Leo hii dada huyo kapandishwa cheo na kuwa MKUU WA KITENGO CHA UBUNIFU WA KAMPUNI. SOMO:-FANYA VITU TOFAUTI KAMA WATAKA MATOKEO TOFAUTIπŸ‘πŸ‘πŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Why do alcohol companies use models 4 their adverts?? Are they ashamed of their real customers??[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
446728502_499054.jpeg
 
Narudi nyumbani kutoka kwenye pilika zangu za kutwa nimepitia sokoni na kununua parachichi kwa ajili ya kulia na ubwabwa mchana. Kufika home nikaliweka na kwenda kuoga, natoka kuoga ili nile chakula, nakuta mke wangu kaliponda parachichi langu na kujipaka kwenye nywele[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]

Wanawake Mungu anawaona![emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

"ᡀʰᡉ ᢠⁱʳ˒ᡗ Κ³α΅˜Λ‘α΅‰ α΅’αΆ  ʷᡃʳ α΅ƒβΏα΅ˆ α΅‡α΅˜Λ’β±βΏα΅‰Λ’Λ’ ⁱ˒ α΅—α΅’ ᡏⁿᡒʷ ΚΈα΅’α΅˜Κ³ ᡉⁿᡉᡐʸ"
Makosa yako hukuwahi kumueleza linatjumiwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha kumbe unafanyaga hivyo eee
Hivi hii tamaduni ya kunusa mkono baada ya kunawa nnya kusikilizia harufu tumeitoa wapi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

"ᡀʰᡉ ᢠⁱʳ˒ᡗ Κ³α΅˜Λ‘α΅‰ α΅’αΆ  ʷᡃʳ α΅ƒβΏα΅ˆ α΅‡α΅˜Λ’β±βΏα΅‰Λ’Λ’ ⁱ˒ α΅—α΅’ ᡏⁿᡒʷ ΚΈα΅’α΅˜Κ³ ᡉⁿᡉᡐʸ"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makosa yako hukuwahi kumueleza linatjumiwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkuu dunia ya sasa nani haujui utamu wa parachichi kwenye juice au kwa kula na ubwabwa. Wanawake tu ndio zao. Maana kuna rafiki yangu ye alinunua mayai kwa ajili ya kuandaa Keki kurudi home kamkuta wife wake amejipaka usoni! [emoji16][emoji16]
Wanawake Mungu anawaona [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waacheni vichaa waitwe vichaa tu maana dah!
Juzi nilikutana na rafiki yangu wa zamani kitambo, akaniuliza kama nishapona uchizi.
Nikamjibu nilikuwa chuo, juzi tu ndio nimemaliza field [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Field = Jalalani

°°ᴱᡛᡉⁿ ᡗʰᡉ α΅α΅‰βΏβ±α΅˜Λ’ ᡃ˒ᡏ˒ ΒΆα΅˜α΅‰Λ’α΅—β±α΅’βΏΛ’Β°Β°
 
Back
Top Bottom