Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
HahahahaUmeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi unajalibu kupapasa uviweke sawa mala taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba kama hukushiba ungesema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]