Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

*Mwalimu mmoja aliita wanafunzi wake akawaambia''Kesho kila mwanafunzi aje na nyanya kulingana na idadi ya watu anaowachukia, Yaani kama unamchukia mtu mmoja uje na nyanya moja kama ni wawili basi njoo na nyanya mbili vilevile.* *Nyanya hizo mtazibeba kwenye mabegi yenu ya kubebea madaftari na vitu vingine vya shule* *"Wanafunzi wakakubali halafu kesho yake wanafunzi wakazibeba zile nyanya vizuri kabisa wengine walibeba moja,wengine mbili na wengine nyingi sana.* *Kama mwalimu alivyosema zile nyanya zikapewa majina ya watu ambao wanafunzi wanawachukia*. *Baada ya kuzipa hizo nyanya majina mwalimu* *akawaambia kila mwanafunzi azirudishie nyanya zake kwenye begi lake halafu aziache humo humo ndani ya begi kila siku awe anakuja nazo shuleni na kurudi nazo nyumbani.* *Baada ya siku kadhaa wanafunzi wakaanza kulalamika hasa wale waliobeba nyanya nyingi kuwa nyanya ni nzito sana na zinatoa harufu mbaya na zinaharibu vitu vyao vizuri walivyoweka kwenye mabegi yao* *Mwalimu akawaambia hivi ndivyo ilivyo mtu unapoweka watu usiowapenda moyoni* *kama mtu huwezi kuvumilia kukaa na harufu ya nyanya* *kwenye begi vipi kuhusu madhara ambayo moyo wako unayapata kwa kuubebesha mzigo wa chuki dhidi ya watu.?* *Moyo unapata madhara makubwa sana unapobebeshwa chuki kila wakati kila siku moyo unakuwa na chuki na hapo ndipo unaharibika* *na kusababisha kuharibu hata vitu vingine vizuri vilivyokoko moyoni mwako. Moyo ni kama lile begi la kubebea madaftari unahitaji kubeba vitu vizuri na visivyo na chuki ndani yake* *Safisha moyo kwa kusamehe wanaokukosea, jifunze kusamehe maana ni moja ya virutubisho vya moyo wako,Samehe kwa kila anayekukosea na kukukwaza.*
 
Hata kama hunipendi wewe ni mtu tu... ☹ Makampuni makubwa yananipenda hata kama sina hela vodacom, Airtel, Tigo wananiita mpendwaa😁😁😁 utaskia _Mpendwa mteja huna salio la kutosha_*🀣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
FAHAMU: Hii nyumba ipo wilayani Mkinga(Tanga) ambapo inaleta utata wa kidiplomasia. Chumba kimoja kipo Kenya na chumba kingine kipo Tanzania (aliposimama NW Dkt. Damas Ndumbaro). Mwenye nyumba akitaka kula mirungi anakaa nje ya nyumba upande wa Kenya na askari wa Tanzania hawamfanyi kitu.
50759431_1120568488115705_1798284203002039341_n.jpg
 
FAHAMU: Hii nyumba ipo wilayani Mkinga(Tanga) ambapo inaleta utata wa kidiplomasia. Chumba kimoja kipo Kenya na chumba kingine kipo Tanzania (aliposimama NW Dkt. Damas Ndumbaro). Mwenye nyumba akitaka kula mirungi anakaa nje ya nyumba upande wa Kenya na askari wa Tanzania hawamfanyi kitu.View attachment 1022139
Hapo ukitaka kuvuta bangi na kula miraa unaingia zako upande wa Kenya, unakula vitu vyako ukichoka unatoka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

3xΒ² + 5 + 4xΒ³ - xΒ² + 2xΒ³ + 9
 
Mfalme alitaka kujua idadi ya makahaba ktk mji wake akawaambia wajipange foleni kuhesabiwa.
wakapanga mara bibi kizee akapita akamuona mjukuu wake katika foleni akamuuliza kuna nini
hapa? mjukuu akamwambia "mfalme anagawa maembe bibi"
Bibi akaunga foleni kwa uroho wa maembe.
mfalme alipomfikia bibi akamuuliza hata wewe bibi? Bibi Akamjibu "mie tena ndio mtaalamu hadi kokwa
nanyonya"
mfalme akapoteza fahamu... [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A͟͟ b͟͟l͟͟i͟͟n͟͟d͟͟ g͟͟u͟͟y͟͟ v͟͟i͟͟s͟͟i͟͟t͟͟e͟͟d͟͟ h͟͟i͟͟s͟͟ c͟͟h͟͟o͟͟i͟͟r͟͟ m͟͟i͟͟s͟͟t͟͟r͟͟e͟͟s͟͟s͟͟ a͟͟t͟͟ h͟͟o͟͟m͟͟e͟͟ a͟͟n͟͟d͟͟ f͟͟o͟͟u͟͟n͟͟d͟͟ h͟͟e͟͟r͟͟ n͟͟a͟͟k͟͟e͟͟d͟͟ w͟͟a͟͟n͟͟t͟͟i͟͟n͟͟g͟͟ t͟͟o͟͟ s͟͟h͟͟a͟͟v͟͟e͟͟ b͟͟e͟͟f͟͟o͟͟r͟͟e͟͟ t͟͟a͟͟k͟͟i͟͟n͟͟g͟͟ b͟͟a͟͟t͟͟h͟͟. S͟͟i͟͟n͟͟c͟͟e͟͟ h͟͟e͟͟ w͟͟a͟͟s͟͟ b͟͟l͟͟i͟͟n͟͟d͟͟, s͟͟h͟͟e͟͟ l͟͟e͟͟t͟͟ h͟͟i͟͟m͟͟ i͟͟n͟͟. T͟͟h͟͟e͟͟n͟͟ s͟͟h͟͟e͟͟ s͟͟p͟͟r͟͟e͟͟a͟͟d͟͟ h͟͟e͟͟r͟͟ l͟͟e͟͟g͟͟s͟͟ w͟͟i͟͟d͟͟e͟͟ o͟͟p͟͟e͟͟n͟͟ a͟͟n͟͟d͟͟ s͟͟t͟͟a͟͟r͟͟t͟͟e͟͟d͟͟ s͟͟h͟͟a͟͟v͟͟i͟͟n͟͟g͟͟ i͟͟n͟͟ f͟͟r͟͟o͟͟n͟͟t͟͟ o͟͟f͟͟ h͟͟i͟͟m͟͟ a͟͟n͟͟d͟͟ t͟͟r͟͟i͟͟e͟͟d͟͟ t͟͟o͟͟ m͟͟a͟͟k͟͟e͟͟ c͟͟o͟͟n͟͟v͟͟e͟͟r͟͟s͟͟a͟͟t͟͟i͟͟o͟͟n͟͟ w͟͟i͟͟t͟͟h͟͟ h͟͟i͟͟m͟͟ b͟͟y͟͟ a͟͟s͟͟k͟͟i͟͟n͟͟g͟͟ h͟͟i͟͟m͟͟. B͟͟r͟͟o͟͟t͟͟h͟͟e͟͟r͟͟ J͟͟o͟͟h͟͟n͟͟, w͟͟h͟͟a͟͟t͟͟ b͟͟r͟͟i͟͟n͟͟g͟͟s͟͟ y͟͟o͟͟u͟͟ h͟͟e͟͟r͟͟e͟͟. I͟͟s͟͟ e͟͟v͟͟e͟͟r͟͟y͟͟t͟͟h͟͟i͟͟n͟͟g͟͟ O͟͟K͟͟ a͟͟t͟͟ h͟͟o͟͟m͟͟e͟͟?.. H͟͟e͟͟ r͟͟e͟͟p͟͟l͟͟i͟͟e͟͟d͟͟ "y͟͟e͟͟s͟͟ o͟͟h͟͟, v͟͟e͟͟r͟͟y͟͟ f͟͟i͟͟n͟͟e͟͟, I͟͟ c͟͟a͟͟m͟͟e͟͟ t͟͟o͟͟ t͟͟e͟͟l͟͟l͟͟ y͟͟o͟͟u͟͟ t͟͟h͟͟a͟͟t͟͟ I͟͟ h͟͟a͟͟v͟͟e͟͟ d͟͟o͟͟n͟͟e͟͟ t͟͟h͟͟e͟͟ e͟͟y͟͟e͟͟ s͟͟u͟͟r͟͟g͟͟e͟͟r͟͟y͟͟ a͟͟n͟͟d͟͟ I͟͟ c͟͟a͟͟n͟͟ s͟͟e͟͟e͟͟ v͟͟e͟͟r͟͟y͟͟ c͟͟l͟͟e͟͟a͟͟r͟͟l͟͟y͟͟ n͟͟o͟͟w͟͟"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbafuu sana huyo Jon.Ndio nini kuona utamu wa mwenzie bila kulipia show

Ustadh alitaka kuongeza Mke wa pili akataka kuchukua rai kutoka kwa Mkewe kwa njia ya hikma: MUME: Wajua Sayyidna Ali bin Abitalib alioa wake wangapi? MKE: Alioa Wake wengi kwaiyo na wewe unataka kusema nini?? MME: Nataka kuishi Maisha ya kisunna kama Alivyoishi Saydina Ali. MKE: (Ashashtuka hapo) Wewe wajua Sayyidna Ali alipigana vita vya jihadi vingapi? Kama wataka kuwa kama yeye si ungekwenda ukaikomboa Masjid Aqswa kutoka kwa mayahudi! MUME: (Alikuwa Kasimama Akakaa Kwanza..) MKE: Katika vita vya Bani Khaybar, Sayyidna Ali alikwenda akavunja mlango wa ngome ya mayahudi na kuwashinda. Wewe juzi mwanao amejifungia chooni tu mlango umekushinda mpaka tukaleta fundi! MUME (Alikuwa kakaa akavua viatu, na kofia akaweka mezani..) MKE: Sayyidna Ali alikua akifanya ibada usiku jangwani peke yake mpaka akipotewa na fahamu kwa khushuu. Wewe ukiona panya tu hapa waweweseka mpaka usingizini. MUME (Akavua kanzu akajitupa kitandani.) MKE: Wakati wa Hijra Sayyidina Ali aliachiwa mali za Watu na Akawarudishia wenyewe Zote bila kupunguza Wewe umeachiwa Mali za urithi una Kazi ya kugombana na ndugu zako tu kila siku kuwagawia hutaki Halafu wataka uwe km Sayidna Ali labda uwe Ali Kiba. MUME: Basi Mke wangu yaishe hebu mlaani sheitwani tulale sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wamakonde tuelewane kidogo inatamkwa _MCHICHA_ na sio _NCHICHA😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom