SumadaVinci
Senior Member
- Dec 27, 2018
- 161
- 328
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana Jf
😂😂😂nakubali nmekaribiaKaribu,kaa kwenu post zirushie humu,hii itapendeza😜
[emoji23][emoji23][emoji23]Okay, kumbe unaielewa hali yako!
Karibu..
Niliwahi kusikia kuwa maji na mafuta havichangamani, na pia mafuta huwa yanaelea juu ya maji... Basi jana mimi nikaamua kupaka mafuta mengi tu miguuni kisha nikaingia baharini ili niweze kutembea juu ya maji maana nilihisi ningeelea na kuweza kufanya chochote.
Sikumbuki nini kilitokea lakini nilijikuta nimelala mchangani watu wakiwa wamenizunguka huku wakisema niwashukuru sana wavuvi. Nadhani watakuwa wamenipa samaki wa bure.
[emoji16]Rafik angu kachora tatoo ya jina la dem wake juzi... leo kaskia dem wake anaolewa nipo nae apa tunasubiri pasi ipate moto...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38]Girls wote ambao mnapiga pic na handbag[emoji162] kama mnatoka flani hivi na kumbe upo hom na huna ishu[emoji126] mixer kujipodoa[emoji168][emoji182] after pic mnarud ndani kuvaa t-shirt na kanga mkiendelea na majukum ya hom ikiwemo kuchochea maharage[emoji33]
NAWASALIMIA...[emoji112][emoji112][emoji23][emoji23][emoji23]
M nacheka tu [emoji23]Hii ngoma imenibamba jo[emoji4][emoji4]
[emoji666] [emoji820]──────── 03.40
Kuna mjinga kajaribu kuplay[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2]Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi unajalibu kupapasa uviweke sawa mala taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba kama hukushiba ungesema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]