Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Okay, kumbe unaielewa hali yako!
Karibu..

Niliwahi kusikia kuwa maji na mafuta havichangamani, na pia mafuta huwa yanaelea juu ya maji... Basi jana mimi nikaamua kupaka mafuta mengi tu miguuni kisha nikaingia baharini ili niweze kutembea juu ya maji maana nilihisi ningeelea na kuweza kufanya chochote.

Sikumbuki nini kilitokea lakini nilijikuta nimelala mchangani watu wakiwa wamenizunguka huku wakisema niwashukuru sana wavuvi. Nadhani watakuwa wamenipa samaki wa bure.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Girls wote ambao mnapiga pic na handbag[emoji162] kama mnatoka flani hivi na kumbe upo hom na huna ishu[emoji126] mixer kujipodoa[emoji168][emoji182] after pic mnarud ndani kuvaa t-shirt na kanga mkiendelea na majukum ya hom ikiwemo kuchochea maharage[emoji33]
NAWASALIMIA...[emoji112][emoji112][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38]
 
Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi unajalibu kupapasa uviweke sawa mala taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba kama hukushiba ungesema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2]
 
leo paka wangu kanya kwenye unga sasa nimerudi na njaa zangu nikaumua ugali wa maana mara nakutana na mzigo wake...........

NIPO HAPA mezani nakula ugali wangu na yule paka ndio mboga yenyewew😂😂
 
[emoji23]
Screenshot_20200815-224828.jpeg
 
Back
Top Bottom