Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Pamoja Sana.... Nimekuelewa Mno.. na Kupitia Huu Uzi wa Leo Nimeamua Kwa Moyo Wangu Wote Kuwa Mwanafunzi Wako Rasmi......Tutakutana Kwenye Kisima Cha Maarifa na Amka Mtanzania...Asante mkuu,
Bila hii spirit ningeshapotea zamani sana.
hii nchi inawakatishaji tamaa wengi.
Lakini mimi nimeshaazimia nitafanya hiki mpaka siku nitakufa na hakuna atakayenikatisha tamaa.
Najua wapo wachache wanaolewa na kunufaika, hao wanatosha.
Hawa wengine acha waendelee kujifurahisha na uhasi wao huku wakilalamika maisha ni magumu.
nimendugua hata mie, nikisomasoma vtb nakuwa kama najua kushauri watu khaa! Lkn wandg vitabu tunapata wapi...na vya aina ipi specificallyWewe Ndo utapata Taabu kwani ungekuwa Unamjua Mleta Mada Usingekomment hivi... Hata hao Motivation speakers wanna kitu kinachoweza kukusaidia.... Usidharau maneno ya Yoyote Hata Mwenda wazimu huenda akawa na Neno la Msaada kwako
Unamjua Mtoa Mada??Mimi nachoshangaa ni kuhubiriwa na watu ambao wenyewe hawajafanikiwa, natamani maelezo kama haya yawe yanatoka kwa kina bakhresa, rostam and the like, yakitoka kea watu kama hawa nadhan wengi wetu wanaweza ushika na kuishi hizi kampuni za utajiri/mafanikio.
Ni Nia Tuu Dunia Ya leo Vitabu Ni vingi Sana Ni uamuzi tuu.... Nakushauri anzia kwa huu Uzi Mleta Mada atakusaidia Zaidinimendugua hata mie, nikisomasoma vtb nakuwa kama najua kushauri watu khaa! Lkn wandg vitabu tunapata wapi...na vya aina ipi specifically
Katika makosa makubwa ya binadamu..Hata mimi nilitaka kuuliza hivyo hivyo. Tunapojadili mafanikio, tunaongelea nini hasa? Katika muktadha wa Kitanzania ni mpaka uwe tajiri wa aina gani ndiyo uhesabike umefanikiwa?
Kwa kweli kukutana na nyuzi za namna hii naonaga kama niko church hivi napata neno..ni muhimu sana jameniNi Nia Tuu Dunia Ya leo Vitabu Ni vingi Sana Ni uamuzi tuu.... Nakushauri anzia kwa huu Uzi Mleta Mada atakusaidia Zaidi
Watanzania tuna vituko sana.Umeongea Ukweli Mtupu Tumezoea Vitu laini laini hatutakagi kuumiza vichwa Wala Miili yetu... Kimsingi Huyu Mleta Mada nilimfahamu zamani Kidogo akiwa mwanachuo Kupitia Kipindi Cha TBC Nilimwelewa na Mpaka leo namwelewa... Tz tuna Watu wazuri Sana wachache Tatizo tumezungukwa na Watu wa Hovyo Sana Wengi. Ndo maana Hata maana ya Mafanikio inakua Shida.. na Wengi wanaopinga Ni wale wanaofikiri wamemaliza Kila kitu.. Ukiangalia Sana Watu Wengi wakijenga kuwa na kagari na Kamshahara au kipato kidogo basi wanaona wamemaliza...Kumbe Hata Kusudi la wao kuja Duniani hawalielewi.... Kazi bado tunayo
Asante sana mkuu,Umeongea Ukweli Mtupu Tumezoea Vitu laini laini hatutakagi kuumiza vichwa Wala Miili yetu... Kimsingi Huyu Mleta Mada nilimfahamu zamani Kidogo akiwa mwanachuo Kupitia Kipindi Cha TBC Nilimwelewa na Mpaka leo namwelewa... Tz tuna Watu wazuri Sana wachache Tatizo tumezungukwa na Watu wa Hovyo Sana Wengi. Ndo maana Hata maana ya Mafanikio inakua Shida.. na Wengi wanaopinga Ni wale wanaofikiri wamemaliza Kila kitu.. Ukiangalia Sana Watu Wengi wakijenga kuwa na kagari na Kamshahara au kipato kidogo basi wanaona wamemaliza...Kumbe Hata Kusudi la wao kuja Duniani hawalielewi.... Kazi bado tunayo
Karibu sana mkuu.Mkuu Pamoja Sana.... Nimekuelewa Mno.. na Kupitia Huu Uzi wa Leo Nimeamua Kwa Moyo Wangu Wote Kuwa Mwanafunzi Wako Rasmi......Tutakutana Kwenye Kisima Cha Maarifa na Amka Mtanzania...
Pata vitabu vizuri na chambuzi zake hapa; www.t.me/somavitabutanzanianimendugua hata mie, nikisomasoma vtb nakuwa kama najua kushauri watu khaa! Lkn wandg vitabu tunapata wapi...na vya aina ipi specifically
Kwel mkuu.Niko najifunza sana sales kwa sasa.Nimeesoma Computer science but for now sales naiona ni kitu muhim sana kwangu.Naomba ukiambatanishe hicho kitambu plzMoja ya njia ambayo mtu yeyote anaweza kuitumia kutoka chini na kufanikiwa sana ni mauzo (sales).
Kama huna pa kuanzia kabisa, basi tafuta chochote na kiuze.
Jenga ushawishi na uza kama kichaa.
Mkuu kamwe usimdharau salesman yeyote yule, unaweza kuona anauza kitu cha kijinga, lakini akawa anapata kamisheni nzuri kuliko mshahara wa mtu anayekaa ofisini.
Japo unaweza kuwabeza na kuwacheka wanaouza vitu unavyoona siyo vya hadhi yako, jua kuna thamani wanatoa na kuna kitu wanaingiza.
Jifunze sales mkuu, soma kitabu cha Brian Tracy cha psychology of selling na kamwe hutokaa umbeze anayeuza chochote, huku kikikusaidia kupiga hatua.
Nakuambatanishia kitabu hapa kama utajali na ukisome.
Asante.
Dr Makirita vitabu vyako vipo kwa Hardcopy?Pata vitabu vizuri na chambuzi zake hapa; www.t.me/somavitabutanzania
Suala la kuongeza maarifa Ni Muhimu sana hata isiwe vitabu ila penda kujifunza ht ukiwa kwa mjinga utatoboa ...Naweza nikakubaliana na hivyo vyote apo Ila sio hio namba mbili kujisomea naipinga labda ungesema kujifunza vitu vipya
uko sahihih....kipimo cha mafanikio ni nini haswa....Fikra za watu wengi ni kwamba mafanikio ni utajiri.....
Mafanikio ni kufanikiwa.......