Makirita Amani
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,915
- 3,422
- Thread starter
- #81
Karibu mkuu.Mkuu ubarikiwe ..
Kama hutojali tupe mrejesho kwa yale utakayojifunza.
Kila la kheri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mkuu.Mkuu ubarikiwe ..
Watu kama nyny ndio nawapendaUkisoma comments za huu Uzi ndio utajua IQ ya watanzania kwanini iko chini sana.
Kama mtu anashindwa ku-logic na kuwa analytical kwa hizo hoja kumi (10) anaenda kuhoji utajiri wa mleta mada na kuuza vitabu !!! Basi sishangai tunapata Viongozi wanaenda kujenga international airport Chato.
Ili uamini IQ ya watanzania Ni ndogo nimechukua huu Uzi nikamtupia rafik yangu mkoja mkenya Feedback ambazo kanipa ni tofauti na yanayoandikwa humu.
Watanzania tutahidi kuwa analytical. Simaaninishi ni lazima ukabaliane na Uzi ila kuwa na critics zilizojiegemeza kwenye hoja na sio mtu. Kuelekeza critics kwa mtu badala ya hoja hizo 10 ni moja ya dalili uwezo wetu wa kujenga hoja ni mdogo.
Haya ndio Mambo hata kwenye interview allkisimama mtanzania na mkenya tunaishia kuduwaa.
Hahahah yeye mtoa mada ame attack wajumbe kama kweli fasihi unaijua vizuri na ndio maana alianza na kusema “Sipendi kuwa mtu wa kuleta habari mbaya kwako, lakini ukweli huwa haujali.”Mi nimejiuliza mpaka nimekosa majibu. Hili andiko lina kosa gani mpaka mtu km Extrovert na witnessj kum attack mleta mada kiasi kile au ishu ilikuwa ni kuuza vitabu?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hii tabia imekuwa ikijikita mizizi Tanzania.Ndio wabongo tulio wengi tulivyo. Negativity imeshakuwa part ya maisha yetu, tena wengine wana heshima kubwa humu jamvini lakini utopolo wanaouandika kwenye huu uzi huwezi kudhania.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa mkuu.Asante sana mkuu.
Umeeleza vyema kabisa, tatizo linaanzia kwenye uwezo na hiyo imetokana na brainwashing ambayo watu wamefanyiwa kwa muda mrefu na kukosekana kwa taasisi za kuwajengea watu uwezo ambao tayari upo ndani yao.
Lakini wapo wachache ambao wanapambana kujitambua na kupiga hatua.
Ila wengi ndiyo hivyo wameshajikatia tamaa na wanataka kila mtu naye akate tamaa.
Chief bado sioni tatizo lolote la mleta mada otherwise uwe umejishtukia tu! Mleta mada kaleta madini tena ambayo ni positive lakini still mnamua attack km vile amewashikia fimbo mnunue vitabu vyake.Hahahah yeye mtoa mada ame attack wajumbe kama kweli fasihi unaijua vizuri na ndio maana alianza na kusema “Sipendi kuwa mtu wa kuleta habari mbaya kwako, lakini ukweli huwa haujali.”
We ni wakala wake amaChief bado sioni tatizo lolote la mleta mada otherwise uwe umejishtukia tu! Mleta mada kaleta madini tena ambayo ni positive lakini still mnamua attack km vile amewashikia fimbo mnunue vitabu vyake.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hivyo vitabu vimekuwezesha kumiliki V8 ngapi mpaka sasa au ndio unataka kutuongezea njaa asubuhi asubuhi? Maana raha ya mafanikio tuyaone kwa macho mzee!
Kama bado uko kwenye cycle ya mkono kwenda kinywani nafikiri bado huna viwango vya ku preach namna ya kuwa tajiri! Ujumbe mzuri ni ule unaotekelezeka hata na wewe mtoa ujumbe!
NB: Kwa level ya mafanikio unayozungumzia nafikiri inawahusu akina Bill Gates, Elon Musk, Mark Zuckerberg na wenzao kadhaa ambao wao tu kwa pesa zao wakiamua wanaweza zilisha kaya za Tanzania chips kuku kwa miaka kadhaa bila kuyumba!
Ukisoma comments za huu Uzi ndio utajua IQ ya watanzania kwanini iko chini sana.
Kama mtu anashindwa ku-logic na kuwa analytical kwa hizo hoja kumi (10) anaenda kuhoji utajiri wa mleta mada na kuuza vitabu !!! Basi sishangai tunapata Viongozi wanaenda kujenga international airport Chato.
Ili uamini IQ ya watanzania Ni ndogo nimechukua huu Uzi nikamtupia rafik yangu mkoja mkenya Feedback ambazo kanipa ni tofauti na yanayoandikwa humu.
Watanzania tutahidi kuwa analytical. Simaaninishi ni lazima ukabaliane na Uzi ila kuwa na critics zilizojiegemeza kwenye hoja na sio mtu. Kuelekeza critics kwa mtu badala ya hoja hizo 10 ni moja ya dalili uwezo wetu wa kujenga hoja ni mdogo.
Haya ndio Mambo hata kwenye interview allkisimama mtanzania na mkenya tunaishia kuduwaa.
Kuna watu naturally wanazaliwa na gene inaitwa negativity gene.Wewe ni tajiri tuanzie hapo?
Unataka kusema nadharia haziwezi kuwa applied in real life?Nilipoona tu kusoma vitabu nikajua ni walewale wauza Nadharia