Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mada imeletwa katika jamii tofauti...!nice!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa uli list vizuri sanaLabda ungeainisha ni aina ipi ya Mafanikio unayoyazungumzia. Being Successful it's a perspective statement/ Word. Kila mtu anatafsiri mafanikio yake kutokana na imani yake au desire. Mafanikio hayana Universal meaning...Je kwa mujibu wa mada yako unazungumzia Mafanikio yapi?
-Ndugu zangu Ma-Budha wanaamini Mafanikio ni kufikia Vast spiritual Enlightenment wao wanaita Nirvana
-Kwetu Stoics na Cynics tunaamini mafanikio ni kufanikiwa kutojishikiza katika materials au aina yoyote ya Emotions.
-Wakatoliki tunaamini Mafanikio ni kufa kifo cha utakatifu ili uweze kufika mbele za Bwana.
-Ndugu zangu wachaga wanaamini Mafanikio ni kua na pesa miiiingi sana
Mtoa mada unazungumzia Mafanikio Tangible au non tangible... Spiritualphysical au mentally?
Kuna Personal Succesful ndio unazungumzia offcrourse ni kila mtu ana mafanikio yake.Labda ungeainisha ni aina ipi ya Mafanikio unayoyazungumzia. Being Successful it's a perspective statement/ Word. Kila mtu anatafsiri mafanikio yake kutokana na imani yake au desire. Mafanikio hayana Universal meaning...Je kwa mujibu wa mada yako unazungumzia Mafanikio yapi?
-Ndugu zangu Ma-Budha wanaamini Mafanikio ni kufikia Vast spiritual Enlightenment wao wanaita Nirvana
-Kwetu Stoics na Cynics tunaamini mafanikio ni kufanikiwa kutojishikiza katika materials au aina yoyote ya Emotions.
-Wakatoliki tunaamini Mafanikio ni kufa kifo cha utakatifu ili uweze kufika mbele za Bwana.
-Ndugu zangu wachaga wanaamini Mafanikio ni kua na pesa miiiingi sana
Mtoa mada unazungumzia Mafanikio Tangible au non tangible... Spiritualphysical au mentally?
Tajiri anauzaga vitabu jamiiforums?
Afungue bookshop tu kwenye malls zote mjini 😹😹😹😂😂😂😂😂😂tajiri vita u vyake akauzie wapi kama si JF!? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndiyo mkuu.Wewe ni tajiri tuanzie hapo?
Moja ya njia ambayo mtu yeyote anaweza kuitumia kutoka chini na kufanikiwa sana ni mauzo (sales).Hawa ndo wale wanaopita na vitabu mitaani vyenye kanuni za jinsi ya kuwa tajiri 😀😀😀😀😀
Endelea kuamini mafanikio ni kufa katika yesu zwazwa wewe.Labda ungeainisha ni aina ipi ya Mafanikio unayoyazungumzia. Being Successful it's a perspective statement/ Word. Kila mtu anatafsiri mafanikio yake kutokana na imani yake au desire. Mafanikio hayana Universal meaning...Je kwa mujibu wa mada yako unazungumzia Mafanikio yapi?
-Ndugu zangu Ma-Budha wanaamini Mafanikio ni kufikia Vast spiritual Enlightenment wao wanaita Nirvana
-Kwetu Stoics na Cynics tunaamini mafanikio ni kufanikiwa kutojishikiza katika materials au aina yoyote ya Emotions.
-Wakatoliki tunaamini Mafanikio ni kufa kifo cha utakatifu ili uweze kufika mbele za Bwana.
-Ndugu zangu wachaga wanaamini Mafanikio ni kua na pesa miiiingi sana
Mtoa mada unazungumzia Mafanikio Tangible au non tangible... Spiritualphysical au mentally?
Hii ndiyo njia yangu mkuu,Na wewe hii ndio njia yako ya kufikia utajiri? Au ni kama mpiga debe? Anaita abiria wa Arusha kwa mbwembwe na kutaja vituo vya njiani wakati hata Msata hajawahi kufika!
Asante sana mkuu.Somo zuri mkuu tumejifunza mengi kutoka hp. Jumapili jema Mungu akubariki sana.
Hizi ni propaganda ambazo zimekuwa zinatumika kuwafanya wengi wabaki kwenye umasikini na kuwa tegemezi.Mafanikio ya wabongo yanatokana na:-
- Pete za bahati
- MAFUTA ya upako
- Maji ya baraka
- Mafusho ya kusafisha nyota
- pesa za majini
Maelezoo mengi ila mwisho wa siku anataka akufanye fursa yaan mbongo...Hawa ndo wale wanaopita na vitabu mitaani vyenye kanuni za jinsi ya kuwa tajiri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mtego mkuu ni namba ya simu na KISIMA CHA MAARIFA[emoji1787][emoji16][emoji16]Tajiri anauzaga vitabu jamiiforums?
Hakuna ugumu wowote kwenye msamiati wa mafanikio.Mafanikio ni msamiati mpana sana ambao tafsiri yake unategemea utashi wa mtu mmoja mmoja kulingana na mahitaji na nyakati alizonazo......
Chukua namba hiyo utajirikeMada imeletwa katika jamii tofauti...!nice!
Hiyo namba ya simu uliyoweka hapo ni ya nini?Hii ndiyo njia yangu mkuu,
Baada ya kujitambua nilijua niko vizuri kwenye kujifunza vitu, kuvielewa vizuri, kuvifanyia kazi na kuwashirikisha wengine kwa njia rahisi kwao pia kufanyia kazi.
Ni mwaka wa 9 huu tangu nifanye hivi kwa mara ya kwanza na matokeo yamekuwa mazuri kwangu na kwa wale wanaokuwa tayari kujifunza na kushirikiana na mimi.
Karibu na wewe pia tushirikiane, ukijitoa kweli utapiga hatua kubwa sana.
[emoji3516]Wewe ni tajiri tuanzie hapo?