Kama una tabia hizi 10, huwezi kamwe kufanikiwa kwenye maisha

Nilipata fursa nikiwa nshazeeka zeeee. Nimekuelewa nipo namb 2. Lkn hii ya 3 khaaa sijui kama tutaelewana nayo, maana sio kosa langu. Nitarudi baadae Kuna dem mkali nimkodoleee mara moja haya mambo hayana umri khaaa!
 
Mkuu Pamoja Sana.... Nimekuelewa Mno.. na Kupitia Huu Uzi wa Leo Nimeamua Kwa Moyo Wangu Wote Kuwa Mwanafunzi Wako Rasmi......Tutakutana Kwenye Kisima Cha Maarifa na Amka Mtanzania...
 
Wewe Ndo utapata Taabu kwani ungekuwa Unamjua Mleta Mada Usingekomment hivi... Hata hao Motivation speakers wanna kitu kinachoweza kukusaidia.... Usidharau maneno ya Yoyote Hata Mwenda wazimu huenda akawa na Neno la Msaada kwako
nimendugua hata mie, nikisomasoma vtb nakuwa kama najua kushauri watu khaa! Lkn wandg vitabu tunapata wapi...na vya aina ipi specifically
 
Unamjua Mtoa Mada??
 
nimendugua hata mie, nikisomasoma vtb nakuwa kama najua kushauri watu khaa! Lkn wandg vitabu tunapata wapi...na vya aina ipi specifically
Ni Nia Tuu Dunia Ya leo Vitabu Ni vingi Sana Ni uamuzi tuu.... Nakushauri anzia kwa huu Uzi Mleta Mada atakusaidia Zaidi
 
Watanzania tuna vituko sana.

Ndio maana kipindi flani wakenya wengi walijazana Tanzania kuchukua kazi zetu. Sababu kubwa ilikuwa ni sisi watanzania hatuna ile fighting spirit insyotokana na mitazamo Kama hii ya kuchambua Mambo kiuvivu uvivu bila kuumiza vichwa. Tumekuwa Kama mifugo ya kuku bandani. Usipoletewa chakula unajilalia.

Umesema ukweli kabisa , mtu akijenga kajumba kake na akiwa na kigari Cha milion 14 Basi kila kitu anaona kamaliza. Na hata mada Kama hizi atakuwa anactush unreasonably.
 
Kila mmoja apite njia yake tukutane hapo juu(mafanikioni).
 
Asante sana mkuu,
Umeeleza vyema sana jinsi watu wanavyopenda vitu laini laini na hicho ndiyo kikwazo kikubwa kwao kupata mafanikio.
Kwa ulaini huo wanapoyakosa mafanikio, wanajihalalishia (rationalise) hadithi zao zinazowapa faraja.
Ninachoamini na ambacho nimekuwa ninakiona ni kila mmoja wetu ana uwezo mkubwa sana ndani yake, lakini wengi hawafikii uwezo huo kwa sababu hawapendi kukabili mambo magumu.
Tukiwa tayari kuzikabili changamoto kubwa, hakuna kinachoweza kutuzuia kupiga hatua.
 
Kwel mkuu.Niko najifunza sana sales kwa sasa.Nimeesoma Computer science but for now sales naiona ni kitu muhim sana kwangu.Naomba ukiambatanishe hicho kitambu plz
 
Naweza nikakubaliana na hivyo vyote apo Ila sio hio namba mbili kujisomea naipinga labda ungesema kujifunza vitu vipya
 
Naweza nikakubaliana na hivyo vyote apo Ila sio hio namba mbili kujisomea naipinga labda ungesema kujifunza vitu vipya
Suala la kuongeza maarifa Ni Muhimu sana hata isiwe vitabu ila penda kujifunza ht ukiwa kwa mjinga utatoboa ...

Huu uzi bora wa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…