Kama una ushamba na wanawake fahamu haya

Kuna dem nimewai kukutana nae. Dem alikua amepanga anaishi mwenyewe. Baada ya kumtongoza na penzi kusogea sogea mbele, nikaenda geto kwa siku moja usiku, kweli nikamkuta mwenyewe, stori kadhaa, nikapiga nikasepa. Ikawa tabia, kwa wiki lazima niende mara mbili au tatu, mana mi sina geto naishi hom. Dem nimepiga sana na alikua ananielewa sana. Ila dakika za mwisho dem nashangaa siku moja ananipa onyo kwamba saivi usiwe unakuja bila taarifa maana mme wangu wamekuja. Niliishiwa nguvu. Ni kitu ambacho alikua hajawai kuniambia hata siku moja. Tangu siku hiyo sijawai kumjibu sms wala kupokea simu zake. MADEMU[emoji1430]
Woman are wicked 🙌
 
Asilimia kubwa (zaidi ya 95%) ya wanawake wa leo wana wanaume zaidi ya mmoja. Usidanganywe na uzuri, dini, kabila, upole nk. Hivyo fahamu kuwa, kila demu anayelika unayekutana naye;

✍️Kuna wanaume wapya anakutana nao wanaomuwazia mipango ya kumfunua sketi,

✍️Kuna wanaume wengine anajuana nao na wameshamuwekea mitego ya kumla kimasihara au kwa yeye kutaka, hivyo ukimuona tu ujue kuwa anaweza akaliwa baada ya robo saa, nusu saa, masaa kadhaa, kesho, keshokutwa, wiki ijayo nk

✍️Kuna wanaume wengine wameshakula, (lbda jana, juzi, wiki iliyopita nk) bado wanatetea nafasi tu.

✊ Tumia akili ya hali ya juu pale unapojiwekea nafasi kwa mwanamke yeyote ili uwe salama katika hii ligi.

Tumia kinga, uwe flexible kuachwa, usiwe na wivu, usimpe attention yako sana kiasi cha kuyasahau maendeleo yako katika nyanja zingine za maisha.

NOTE: Ni asilimia ndogo sana ya wanawake ( even below 5%) walio na mtu mmoja.
KUna wengine mpaka wanafokolewa back stage halafu ukiwa nae sala kila saa mara bwana asifiwe mara swala tano
 
Asilimia kubwa (zaidi ya 95%) ya wanawake wa leo wana wanaume zaidi ya mmoja. Usidanganywe na uzuri, dini, kabila, upole nk. Hivyo fahamu kuwa, kila demu anayelika unayekutana naye;

✍️Kuna wanaume wapya anakutana nao wanaomuwazia mipango ya kumfunua sketi,

✍️Kuna wanaume wengine anajuana nao na wameshamuwekea mitego ya kumla kimasihara au kwa yeye kutaka, hivyo ukimuona tu ujue kuwa anaweza akaliwa baada ya robo saa, nusu saa, masaa kadhaa, kesho, keshokutwa, wiki ijayo nk

✍️Kuna wanaume wengine wameshakula, (lbda jana, juzi, wiki iliyopita nk) bado wanatetea nafasi tu.

✊ Tumia akili ya hali ya juu pale unapojiwekea nafasi kwa mwanamke yeyote ili uwe salama katika hii ligi.

Tumia kinga, uwe flexible kuachwa, usiwe na wivu, usimpe attention yako sana kiasi cha kuyasahau maendeleo yako katika nyanja zingine za maisha.

NOTE: Ni asilimia ndogo sana ya wanawake ( even below 5%) walio na mtu mmoja.
Ni KWELI MIMI HUWA SISHIKI SIMU YA MWANAMKE MFANO NINA KADEMU KANGU KAKO ILAZO HUWA KANAJUA KUKATA MAUNO BALAAAAAAA NAJUA TUTAKUWA WENGI
 
Kila kitu kinapita hata akitombwa kwani mimi napungua.. Nini? !!staki kujua naulinda wangu moyooo.
 
Back
Top Bottom