Kama unaamini mambo ya kiroho utakubali kuwa Urais wa JMT unamtafuta Tundu Lissu

Baada ya kifo, HUKUMU,

Ishi maisha ya Utakatifu duniani, tengeneza na Muumba Ukiwa hai.

RIP ni UWONGO. Hayupo anayeweza kuombea marehemu akasikiwa.

Kuhusu Lissu sikubishii, tatizo halipo Kwa WAPIGA kura kumchagua, Bali tatizo lipo Kwa wahesabu kura na watangaza mshindi!!!!!
 
Sisi tulio hai ndio tunamwombea sio yeye aliyekufa.Aliyekufa mambo yake yoote yamefungwa kazi imebaki kwa Mungu
NA NDO UKWELI ULIVYO. ANAOMBEWA ALIYE HAI ABADILIKE AJUTIE MAKOSA YAKE. KAMA MTU KAFA KAKAMILISHA HESABU KARUDISHA DAFTARI KWA SIR GOD.
 
Hayo yoote mwachie Mungu anaenda kudhughulika nayo
 

Kama kuna siku mpinzani atashika hii nchi, wa kwanza atakuwa Lisu
 
Kama kuna siku mpinzani atashika hii nchi, wa kwanza atakuwa Lisu
Kumbe na wewe unaliona hilo?

Nina uhakika sio kwa uwezo wako tu bali Mungu wa mbinguni amekuwezesha kung'amua
 
Kichaa Lisu hawezi kuwa Rais wa Tanzania
Wewe ndiye huwapima watu kuweza kuwatambua vichaa?

Isije ikawa ni wewe uliye kichaa, na yale unayoambiwa na watu huko mitaani, ndiyo nawe unayatamka dhidi ya wengine.

Jitahidi ufike hospitali mapema.
 
Uharo mtupu huo unaitwa uchawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…