Kama unaamini mambo ya kiroho utakubali kuwa Urais wa JMT unamtafuta Tundu Lissu

Siko hapa kubishana na mtu. Na kama wewe ni moja kati ya wale wasioamini Matendo Makuu ya Bwana Mungu, Mungu wa Israeli basi pita kimya kimya tu.
Wao wenyewe hajamaliza shida zao ndiyo ahamie kwa Lissu
 
Kumbe anaandaliwa kulisave taifa, nilikuwa namsikia steve harvey akisema in every moment of adversity there's opportunity and lesson kipindi ana host miss world kama sijakosea alipokosea kumtaja mshindi akataja wa mexico😂😂
Mipango ya Mungu huwa ni complex sana. Watu wachache sana huwa wanaelewa na kupingwa na wengi.
 
Kwa maono yako. lakini Mungu Mkuu wa Israel halinganishwi na mawazo kama yako.
Mungu mkuu wa Israel anahusika vipi na Tanzania aanze kwanza kutatua mgogoro wa Israel na palestina waache kuuana na kumwaga damu akimalizia aje Tanzania
 
Siko hapa kubishana na mtu. Na kama wewe ni moja kati ya wale wasioamini Matendo Makuu ya Bwana Mungu, Mungu wa Israeli basi pita kimya kimya tu.
Sitaki kusema mengi ila huu uzi tutaurejea miaka michache ijayo.

Kwamba walio wazima na wenye nyenzo zote anaondoka harafu watu waliokuwa wanyonge kudharauliwa wanazidi kustawi.

Mfano
1. Daniel alitupwa kwenye shimo la simba wakamuonea huruma sana wakijua hakuna namna anaweza kupoma lakini at the end hakudhurika baadae akawa mkuu wa serikali ya Umedi na Uajemi.

2. Daudi alikoswa koswa mikuki ya Mfalme Sauli na baadae akatawazwa kuwa Mfalme wa Dola ya Israeli

3. Mfalme Ithibosheti anafariki akiwa Mfalme aliyetawala kipindi kifupi kuliko woote ili kupisha njia kwa Daudi kuwa mfalme

4. Yehoyakimu anateuliwa kuwa Mfalme wa Yudea baada ya Yosia kuuawa vitani na Farao Neko kule Megido.

5. Kwamba, Yeroboam anatoroka na kukimbilia Misri ili asiuawe lakini aliporudi baada ya Kifo cha Suleiman(mhasimu wake) anapakwa mafuta na Kuwa Mfalme wa Samaria.

Haya maandiko Matakatifu hayawezi kwenda bure. Labda kama Mungu tunayemwamini si huyu wa Israeli.

Mungu anapotaka kuleta Ukombozi kwa watu wake anahakikisha hakuna Mchanganyo wa Mbengu. Anahakikisha kizazi kilichochafua Zabibu zake hakihusiki kwenye Ukombozi.

Nawatakia Msiba Mwema tuwaombea msamaha waliotangulia woote.

Mungu analete Ukombozi.
Ukapimwe akili
 
Vita yao ni kwa ajili ya Mungu. Ustarajie vitaisha. Ni vita ya Mungu mwenyewe
 
Simjibu mtu lakini natoa mchango wangu kwa andiko lililopo.
Moja ya changamoto tulizonazo walokole ni kuwaaminisha watu kile ambacho wewe unaamini na tukasimama na mistari mizuri ya faraja kusimamia tunachoamini kuwa ni sawa na watu wote waamini hivyo kama vile ni sheria. kitu ambacho kiukweli sio sawa.
wengi tunafikiri tupo Rohoni na wengine wako mwilini na tukiamini hawawezi kuelewa mambo ya Rohoni kitu ambacho ni wachache sana wanaenda Rohoni na huko tunaenda kwa huruma ya MUNGU na si vinginevyo.
wengi tunawaza kile kilichopo kwenye nafsi zetu na ndicho kinachojenga uhalisia wa haya tunayoleta kwa wengine na kuwaaminisha.
sitaki kuingia sana huko lakini lazima tupime kwa uaminifu ndipo tuwaaminishe watu tunachofikiria tunakiona kama maono.
 
Siko hapa kubishana na mtu. Na kama wewe ni moja kati ya wale wasioamini Matendo Makuu ya Bwana Mungu, Mungu wa Israeli basi pita kimya kimya tu.
Sitaki kusema mengi ila huu uzi tutaurejea miaka michache ijayo.

Kwamba walio wazima na wenye nyenzo zote anaondoka harafu watu waliokuwa wanyonge kudharauliwa wanazidi kustawi.

Mfano
1. Daniel alitupwa kwenye shimo la simba wakamuonea huruma sana wakijua hakuna namna anaweza kupoma lakini at the end hakudhurika baadae akawa mkuu wa serikali ya Umedi na Uajemi.

2. Daudi alikoswa koswa mikuki ya Mfalme Sauli na baadae akatawazwa kuwa Mfalme wa Dola ya Israeli

3. Mfalme Ithibosheti anafariki akiwa Mfalme aliyetawala kipindi kifupi kuliko woote ili kupisha njia kwa Daudi kuwa mfalme

4. Yehoyakimu anateuliwa kuwa Mfalme wa Yudea baada ya Yosia kuuawa vitani na Farao Neko kule Megido.

5. Kwamba, Yeroboam anatoroka na kukimbilia Misri ili asiuawe lakini aliporudi baada ya Kifo cha Suleiman(mhasimu wake) anapakwa mafuta na Kuwa Mfalme wa Samaria.

Haya maandiko Matakatifu hayawezi kwenda bure. Labda kama Mungu tunayemwamini si huyu wa Israeli.

Mungu anapotaka kuleta Ukombozi kwa watu wake anahakikisha hakuna Mchanganyo wa Mbengu. Anahakikisha kizazi kilichochafua Zabibu zake hakihusiki kwenye Ukombozi.

Nawatakia Msiba Mwema tuwaombea msamaha waliotangulia woote.

Mungu analete Ukombozi.
Unaweza ukawa sahihi,ila Lissu sharti asiwe ndani ya CHADEMA, yaani uruke mkojo ukanyage 'mimavi' (chaggadema)?
 
Acha kunajisi nafasi MUHIMU ya uraisi wa nchi
 
Vita yao ni kwa ajili ya Mungu. Ustarajie vitaisha. Ni vita ya Mungu mwenyewe
Inakuwaje katika amri za Mungu anasema na usiuwe inamaanisha wa Israel na palestina wana haki ya kuuana mbona sisi binadamu hatupendi wale watu wauwane? Unaiona ile nembo ya bibi na bwana hiyo ndiyo siri kuu ya hii nchi siyo Mungu wa waisraeli
 
Kwenye haya mazingira yetu ya uchaguzi, sioni mpinzani yeyote kuingia ikulu kwa sasa, hiyo ni kama ndoto, sijui miujiza gani itakayotokea labda Lissu aende CCM akagombee Urais akiwa huko.
 
Siko hapa kubishana na mtu. Na kama wewe ni moja kati ya wale wasioamini Matendo Makuu ya Bwana Mungu, Mungu wa Israeli basi pita kimya kimya tu.
Sitaki kusema mengi ila huu uzi tutaurejea miaka michache ijayo.

Kwamba walio wazima na wenye nyenzo zote anaondoka harafu watu waliokuwa wanyonge kudharauliwa wanazidi kustawi.

Mfano
1. Daniel alitupwa kwenye shimo la simba wakamuonea huruma sana wakijua hakuna namna anaweza kupoma lakini at the end hakudhurika baadae akawa mkuu wa serikali ya Umedi na Uajemi.

2. Daudi alikoswa koswa mikuki ya Mfalme Sauli na baadae akatawazwa kuwa Mfalme wa Dola ya Israeli

3. Mfalme Ithibosheti anafariki akiwa Mfalme aliyetawala kipindi kifupi kuliko woote ili kupisha njia kwa Daudi kuwa mfalme

4. Yehoyakimu anateuliwa kuwa Mfalme wa Yudea baada ya Yosia kuuawa vitani na Farao Neko kule Megido.

5. Kwamba, Yeroboam anatoroka na kukimbilia Misri ili asiuawe lakini aliporudi baada ya Kifo cha Suleiman(mhasimu wake) anapakwa mafuta na Kuwa Mfalme wa Samaria.

Haya maandiko Matakatifu hayawezi kwenda bure. Labda kama Mungu tunayemwamini si huyu wa Israeli.

Mungu anapotaka kuleta Ukombozi kwa watu wake anahakikisha hakuna Mchanganyo wa Mbengu. Anahakikisha kizazi kilichochafua Zabibu zake hakihusiki kwenye Ukombozi.

Nawatakia Msiba Mwema tuwaombea msamaha waliotangulia woote.

Mungu analete Ukombozi.
Wee na wewe ni kichaa kama lissu
 
Acha kunajisi nafasi MUHIMU ya uraisi wa nchi
Wapo watu walikuwa na dharau sana akina Nebkadneza lakini waliishia kugeuka Hayawani wakala majani na baadae wakakiri Mungu aliyehai wa Milele ni wa Israeli
 
Back
Top Bottom