Kama unaamini mambo ya kiroho utakubali kuwa Urais wa JMT unamtafuta Tundu Lissu

Mkuu ungepita kimya kimya tu. Huna sababu ya kutukana.
Hutaki Demokrasia na Uhuru wa kutoa maoni? Unadhani unayemkejeli kwenye kichwa cha uzi huu atakuelewa?? Au hujui kuwa unamkejeli?? Unadhani wanaompenda watakuelewa?
 
Yaani wachangiaji woote hawa wewe tu ndio umeona Kejeli?
 
Back
Top Bottom