Kama unaamini Samia anapendwa na watanzania, unaweza kueleza ni kwanini?

Kama unaamini Samia anapendwa na watanzania, unaweza kueleza ni kwanini?

Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.

Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
Sijajua kama hilo jambo lina ukweli.Ninachojua ni watumishi wa umma husumbuliwa sana Samia na viongozi wengine wa CCM wanapofanya ziara katika wilaya zao.Huwa wanashinikizwa wawajaze watu maeneo atakapopita kiongozi husika au kuhutubia.Hii hufanyika hata kwenye matukio ya mwenge.
 
Anapendwa na chawa wake tu kwa vile wanapata manufaa binafsi toka kwake au utawala wake.
Kisirisiri hata machawa hawamtaki lakini Kwa sababu wanajiita chawa na wanajulikana ni machawa kula Yao Hadi boss wao ashibe avimbewe alale ndo waanze kunyonya damu.

Lakini kama form wakiweka mbili mama na mwijaku nakuambia mwijaku anashinda mapema mno
 
CCM wataiba kura. Chawa wao johnthebaptist na Lucas Mwashambwa lazima watabadili matokeo.
Screenshot_20241013-152756_1.jpg
Screenshot_20240928-224331_1.jpg

 
Lakini kama form wakiweka mbili mama na mwijaku nakuambia mwijaku anashinda mapema mno
Kama kweli anapendwa wafungue milango aanyetaka kuingia aingie😀😆😄

Kutoa fomu moja tu ni dalili kuwa ndani ya CCM kuna hofu kuwa Samia akishindanishwa na mtu mwingine atashindwa.
 
Back
Top Bottom