Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #101
Kabisa😀😆😄Kwa sababu ni Muislam na Mzanzibari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa😀😆😄Kwa sababu ni Muislam na Mzanzibari.
Ya chini sana kulinganisha na ipi?Hiyo bei ya korosho Bado ni ya chini Sana. Halafu Samia anahusika vipi na kuongezeka Kwa bei ya korosho?
Sasa uzi mwengine uulize kwanini humpedi?Kabisa😀😆😄
'Aliwekeza' bandari na loliondo tukapata faida kubwa 😂😂Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.
Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
Soma mada, hukuambiwa uwajibie watu.Anapendwa na chawa wake tu kwa vile wanapata manufaa binafsi toka kwake au utawala wake.
Soma mada, kama hauna cha kuchangia kwenye mada. Kaa kimya. Swali lipo wai kabisa.Minaona tungefanya kupiga kura za maoni hapa Jf kidogo ingeonuesha uhalisia kama anakubalika ama hakubaliki
Ndiyo.ningekuwa Mimi ndiyo rais mambo ya utekaji,mfumuko wa bei na ubovu wa huduma za jamii usingekuwepo na hata kama utakuwepo itakuwa ni 1 % tuWewe ndio unajua kuongoza ?
Kwa vile tu maiti, hatujui chochoteKuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.
Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
Ngoja tumsubiri Steve nyerere 😀Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.
Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
Watoto wa Shule hawaruhusiwi mikutano ya vyama vya siasa, lakini kwa ccm, kwenye ziara shule za msingi zote hufungwa na wanalazimisha watoto wote waende shule halafu wanapelekwa mikutanoni kujaza watu.
Binafsi bila ukanda, udini wala chochote kingine chenye ishara ya ubaguzi wowote namuona kwa sasa Boniphace Kajunjumele Mwabukusi ana uzalendo wa hali ya juu sana katika kulitetea au kuliongoza taifa hili maana hana chembe za usaliti na anaipenda sana Tanganyika na Tanzania kwa ujumla. Lissu huwa kidogo ana ka element kakujikomba kwa wazungu kwahiyo ni rahisi kuwa compromised ukimlinganisha na Mwabukusi.Mkuu,
Sidhani kama kuna mtu anamhitaji!!
Tafadhali anzisha mchakato wa polling vote kwenye majina yafuatayo ndio yataonesha dira halisi
1. John Mnyika
2. Addo Shaibu
3. Samia Suluhu
4. Tundu Antipas Lissu
5. Luhaga Joelson Mpina
6. Boniface Anyisile Kajunjumule Mwabukusi
9. Kasimu Majaliwa
10. Freeman Aikael Mbowe
11. James Mbatia
12. John Pambalu
13. John Heche
14. Mohamed Mchengerwa
15. Hussein Mwinyi
16. January Makamba
17. Paul Christian Makonda
18. Ridhiwan Kikwete
19. Dr Doroth Gwajima
20. Queen Sendiga
21. Dr. Thabit Kombo
22. Dr Emanuel Nchimbi
23. Dr. Bashiru Ally Kakurwa
24. David Kafulila
25. Dotto Mashaka Biteko
Mmojawapo kati ya hao hapo juu ndio atakuwa rais 2025-2030
Cc: Lucas MwashambwaKuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.
Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.
Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
Na wewe ni chawa wake tu.Soma mada, hukuambiwa uwajibie watu.