Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
makamanda wa chadema wangeweza kutumia usafiri wa barabara, wangeweza kutumia usafiri wa anga n.kHiyo ni aina tu ya usafiri na wala si alama ya maendeleo. Treni ziko siku nyingi kutokuwa na treni kama hizo zinazotumiwa sasa hivi ni uchelewevu usio na sababu. Kwani CHADEMA hawalipi kodi?
chadema tunafanya ulinganisho wa nyakati na tulicho nacho sasa. Kwa mfano mtoto wa miaka 15 akianza darasa la kwanza ni maendeleo, lakini atakuwa amechelewa kusoma shule.
na hiyo ni alama tosha kwamba Tanzania katika masuala ya miundombinu, usafiri na usafirishaji kuna maendeleo makubwa sana yanaonekana na ni suala la mwananchi kuamua atumie nini kusafiri
masula ya ulinganisho fanyeni huko kwenye vikao vya ndani ya chama chenu ili mkiyatoa nje mpate majibu sahihi ya kina kwa upotofu wenu...
kuliko hii ya wenzako wanaenjoy ndani ya sgr wewe unalalamika ndani ya jf, si sawa
