Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #21
Hawana sababu... Chawa ni chawa tu!Hadi sasa hakuna aliyesema kwanini anapendwa. Wanaompenda hawapo humu jf?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana sababu... Chawa ni chawa tu!Hadi sasa hakuna aliyesema kwanini anapendwa. Wanaompenda hawapo humu jf?
Thubutuuuuu !!!!Kama kweli anapendwa wafungue milango aanyetaka kuingia aingie😀😆😄
Kutoa fomu moja tu ni dalili kuwa ndani ya CCM kuna hofu kuwa Samia akishindanishwa na mtu mwingine atashindwa.
Acha uongo wako hapa wewe.mara ngapi mnafanya mikutano na watu wanagoma kuja?Unaweka picha wakati OCD wa mpanda amezuia CHADEMA kufanya mikutano.
Kukimbia peke yako hakukupi kipimo kizuri kama una mbio
Kwa mfano?Acha uongo wako hapa wewe.mara ngapi mnafanya mikutano na watu wanagoma kuja?
Unazisahau intelijensia za polisi zinavyogundua wakinzani/CHADEMA kuwa na nia ya kuleta fujo na kulaza magogo nchi nzima?Acha uongo wako hapa wewe.mara ngapi mnafanya mikutano na watu wanagoma kuja?
🤣🤣🤣Thread ifungwe umemaliza kila kituAnapendwa na chawa wake tu kwa vile wanapata manufaa binafsi toka kwake au utawala wake.
Astaghifilullah!Walipelekwa kwa malori tena?Asilimia 92 ya wahudhuriaji wa leo ni wanafunzi waliosombwa maeneo tofautitofauti katika wilaya za Ilemela, Nyamagana, Misungwi na Magu
Walipoiba uchaguzi 2019 na 2020 tulikuwa hatujajiandikisha.... Msitufanye mabwege😄😆😀Jiandikisheni kupiga kura msije sema tumeibiwa kurazetu,CCM Muda huu wako bize kuwaamasisha vijana wao wakajiandikeshe
Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.
Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampen
ni kwasababu ya nia na dhamira ya wazi na njema kwa waTanzania, kuliunganisha taifa na kuwaleta waTanzania pamoja, kufaidi na kufurahia matunda ya amani, umoja na utulivu wa taifa lao kiuchumi, kisiasa na kijamii...Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.
Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?

Minaona tungefanya kupiga kura za maoni hapa Jf kidogo ingeonuesha uhalisia kama anakubalika ama hakubaliki
Kabla hamjapata ukata na chama kuishiwa pesa si mlizindua mikutano yenu na mkawa mnafanya.kwa sasa hamuwezi kufanya kwa sababu hamna hela , migogoro imetawala pamoja na kupuuzwa na watanzania ambao wanaiona CHADEMA kama genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo tuKwa mfano?
Kweli maneno ya chuki hayafaiHapo ilibidi iwe kukubalika na,sio kupendwa maana hauwezi ukamchukia binadamu mwenzako.
Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.
Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?