Kama unaamini Samia anapendwa na watanzania, unaweza kueleza ni kwanini?

Tofauti ya Tanzania ya Zanzibar ni nini?
nadhani umoja, amani na utulivu wa waTanzania ni imara zaidi ndio kwasababu hatua na malengo ya taifa kimaendeleo kijamii, kisiasa na kiuchumi yanafikiwa kirahisi zaidi.

umoja na amani ya waTanzania ndio hasa chimbuko la mafanikio haya yote :pulpTRAVOLTA:
 
Unacho kipimio Cha Upendo Ili tukitumie?

Mtu umeajiriwa na wananchi tena Kwa kudra,

Badala ya kufanya KAZI, uhangaike kutafuta kupendwa!!
 
panda sgr hata kutoka dar mpala mpaka moro tu utayapima vizuri sana maendeleo hayo. lakini ukiyimia malalamiko ya chadema utaweweseka tyuuu
Sijui ni kwa nini watetezi wa CCM huleta hoja za utetezi kwa ndani kukiwa na aina fulani hivi ya ushamba. Watanzania tupo milioni zaidi ya 60, wote hao ili waone maendeleo ya nchi yetu wanatakiwa wapande SGR?
 
Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.

Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
Anaoendwa ndio ila sio na watu wote au wengi.

Lakini Kwa watu waelewa she is favorite Kwa sababu delivery yake kwenye masuala kadha wa kadha ni extra ordinary eg maelfu ya Ajira ambayo amekuwa akimwaga tangu alivyoshika kiti.
 
Maelfu ya ajira kwa takwimu gani? Yaani ajira zimetolewa ngapi na zilitakiwa zitolewe ngapi?
 
Sijui ni kwa nini watetezi wa CCM huleta hoja za utetezi kwa ndani kukiwa na aina fulani hivi ya ushamba. Watanzania tupo milioni zaidi ya 60, wote hao ili waone maendeleo ya nchi yetu wanatakiwa wapande SGR?
makamanda wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wakiinjoy maendeleo kwa kutumia kwa mara ya kwanza usafiri wa Treni ya Mwendokasi (SGR) wakati wa safari yao kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma hivi karibuni wakati kuna mwanachama wao ana mbwelambela tu huku jukwaani eti hakuna maendeleo :pedroP:

View: https://youtube.com/shorts/16rVG4qtgsA?si=OEFfrMMnQftv_DGZ
 
Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.

Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
#mitano Tena
#mama amewafikia wengi
#mama ANAUPIGA MWINGI
#Tanzania inakimbia mwendo wa nuclear.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Kwa takwimu za Serikali,kwani wewe Huwa huzioni zinapotangazwa?

Zilizotolewa ndio hizo hizo zilizopangwa.
Hapa maelezo si ya kisayansi bali ni ya ki-CCM. Ajira hazipangwi kutolewa bali hutolewa kutokana na uhitaji wa ajira kwa vijana wenye sifa za kuajiriwa.
 
Kwani zitatolewaje Ajira ambazo hazihitajiki au kupangwa?

Unakubali kwamba Samia amekuwa akimwaga maelfu ya Ajira?
 
makamanda wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wakiinjoy maendeleo kwa kutumia kwa mara ya kwanza usafiri wa Treni ya Mwendokasi (SGR) wakati wa safari yao kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma hivi karibuni wakati kuna mwanachama wao ana mbwelambela tu huku jukwaani eti hakuna maendeleo :pedroP:

Hiyo ni aina tu ya usafiri na wala si alama ya maendeleo. Treni ziko siku nyingi kutokuwa na treni kama hizo zinazotumiwa sasa hivi ni uchelewevu usio na sababu. Kwani CHADEMA hawalipi kodi?

chadema tunafanya ulinganisho wa nyakati na tulicho nacho sasa. Kwa mfano mtoto wa miaka 15 akianza darasa la kwanza ni maendeleo, lakini atakuwa amechelewa kusoma shule.
 
Ni mji
Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.

Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
Ni mjinga pekee anaweza mpenda kiongoz wa namna ile
 
Kwani zitatolewaje Ajira ambazo hazihitajiki au kupangwa?

Unakubali kwamba Samia amekuwa akimwaga maelfu ya Ajira?
Inachekesha sana.... Ajira ni suala la kisayansi. Lazima uwe una takwimu halisi ya wenye sifa ya kuajiriwa na ajira zinazotolewa.

Ukitaka kujua hatujaendelea, hata takwimu za watanzania wasio na ajira hatuna. Nyie kazi yenu kusimanga wana CHADEMA waliopanda SGR.

CCM wakikutana na wana CHADEMA huwa wanakuwa kama limbukeni hivi😛😀
 
Takwimu zote zipo sema wewe nyumbu ndio hujui.

Unakubali kwamba Samia amemwaga maelfu ya Ajira?
 
Back
Top Bottom