Kama unaamini Samia anapendwa na watanzania, unaweza kueleza ni kwanini?

Kama unaamini Samia anapendwa na watanzania, unaweza kueleza ni kwanini?

Kabla hamjapata ukata na chama kuishiwa pesa si mlizindua mikutano yenu na mkawa mnafanya.kwa sasa hamuwezi kufanya kwa sababu hamna hela , migogoro imetawala pamoja na kupuuzwa na watanzania ambao wanaiona CHADEMA kama genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo tu
Hiyo Barua ya OCD wa mpanda umeiona?
 
Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.

Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
Hii hoja haujaibalansi. Ungebalansi hivi; kama "anapendwa" kwa lipi na kama "hapendwi" kwa lipi? Hapo tunaosema "anapendwa" tungetiririka hadi ikafurahi!
 
Kupendwa ni kwenye BOKSI LA KURA sio kuiba Uchaguzi.
 
Attachments

  • 20241014_162840.jpg
    20241014_162840.jpg
    658.5 KB · Views: 1
Labda Kama anapendwa kimiujiza, mimi sioni.
Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.

Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
 
Uongo kuwa OCD wa mpanda hajaandika barua ya kuzuia CHADEMA kufanya mikutano?

View attachment 3124832
Hiyo Barua umeiona?
Ndio maana nasema CHADEMA Ninyi hamjitambui .sasa mbona barua ipo wazi kabisa na imetoa sababu .lakini pia inaonyesha CHADEMA walishiriki katika kikao cha wadau wa uchaguzi na wakakubaliana mambo ambayo CHADEMA waliyaridhia halafu baadaye wanajifanya kuleta ukinyonga wao kama kawaida yenu.
 
Naona gari la shirika la uma(SU)
LINAGAWA MAJI BURE MAJI YA OFFER HUKU MSAKUZI,MNAGAWA MAJI WAKATI MPAKA SASA MABOMBA HAMJAWA VUTIA WATU WATU HUKU

ova
 
Attachments

  • 20241014_164001.jpg
    20241014_164001.jpg
    697.4 KB · Views: 1
Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.

Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
Kwa sababu watanzania ni wajinga
 
...sasa mbona barua ipo wazi kabisa na imetoa sababu .
Umesoma kilumumba lumumba. Hizo sababu hazimhusu samia na mikutano yake?
lakini pia inaonyesha CHADEMA walishiriki katika kikao cha wadau wa uchaguzi na wakakubaliana mambo ambayo CHADEMA waliyaridhia halafu baadaye wanajifanya kuleta ukinyonga wao kama kawaida yenu.
CHADEMA haikushiriki kikao cha kuzuia mikutano bali maandalizi ya uchaguzi. Huyo OCD kanukuu mambo ya kitaifa na kutoa ndiyo sababu ya kuzuia mikutano ya CHADEMA.
 
Umesoma kilumumba lumumba. Hizo sababu hazimhusu samia na mikutano yake?

CHADEMA haikushiriki kikao cha kuzuia mikutano bali maandalizi ya uchaguzi. Huyo OCD kanukuu mambo ya kitaifa na kutoa ndiyo sababu ya kuzuia mikutano ya CHADEMA.
Ameshasema wazi kabisa kuwa CHADEMA walishiriki kikao na kukubaliana mambo kama hayo ya kusitishwa masuala ya mikutano
 
Ameshasema wazi kabisa kuwa CHADEMA walishiriki kikao na kukubaliana mambo kama hayo ya kusitishwa masuala ya mikutano
Hakuna mahali pameandikwa" walikubaliana" hiyo ya kukubaliana ni uzushi wako ambayo ni tabia ya wana CCM wengi.

soma uelewe kilichoandikwa. Msimamizi wa uchaguzi aliwasomea watu wa vyama maelekezo ya kiuchaguzi siyo kusema hawaruhusiwi kufanya mikutano ya siasa.
 
ni kwasababu ya nia na dhamira ya wazi na njema kwa waTanzania, kuliunganisha taifa na kuwaleta waTanzania pamoja, kufaidi na kufurahia matunda ya amani, umoja na utulivu wa taifa lao kiuchumi, kisiasa na kijamii...

zaidi sana Dr. Samia Suluhu Hassan anakubalika sana kwa kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu na kumfanya awe miongini mwa maraisi wanawake wanaopendwa zaid, wanaominika na kuheshimika zaidi kitaifa na kimataifa ulimwenguni :pulpTRAVOLTA:
Nia njema gani mzee wakati anauza rasilimali za taifa na kuua watu anaowaongoza.

Waulize watu wa Ngorongoro na Loliondo kama wana furaha na anayoyafanya.
 
Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.

Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
Mkuu,

Sidhani kama kuna mtu anamhitaji!!

Tafadhali anzisha mchakato wa polling vote kwenye majina yafuatayo ndio yataonesha dira halisi
1. John Mnyika
2. Addo Shaibu
3. Samia Suluhu
4. Tundu Antipas Lissu
5. Luhaga Joelson Mpina
6. Boniface Anyisile Kajunjumule Mwabukusi
9. Kasimu Majaliwa
10. Freeman Aikael Mbowe
11. James Mbatia
12. John Pambalu
13. John Heche
14. Mohamed Mchengerwa
15. Hussein Mwinyi
16. January Makamba
17. Paul Christian Makonda
18. Ridhiwan Kikwete
19. Dr Doroth Gwajima
20. Queen Sendiga
21. Dr. Thabit Kombo
22. Dr Emanuel Nchimbi
23. Dr. Bashiru Ally Kakurwa
24. David Kafulila
25. Dotto Mashaka Biteko

Mmojawapo kati ya hao hapo juu ndio atakuwa rais 2025-2030
 
Nia njema gani mzee wakati anauliza rasilimali za taifa na kuua watu anaowaongoza.

Waulize watu wa Ngorongoro na Loliondo kama wana furaha na anayoyafanya.
Tanzabia ni ya waTanzania wote na siyo ya watu wa eneo fulani pekee,

hata hivyo watu wa vyama vya siasa hasa vyenye chaguzi za ndani ya vyama vyao hawana sababu jata moja kuendekeza masuala ya kushirikina, ramli chonganishi, kutoana kafara na kuchukuana misukule ndani ya vyama vyao na kusingizia vyombo vingine visivyo husika na uchaguzi wao wa ndani...

Infact,
asie na furaha Tanzania ni mshirikina au mvivu tu :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom