Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Anapendwa na chawa wake tu kwa vile wanapata manufaa binafsi toka kwake au utawala wake.Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.
Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
CCM wataiba kura. Chawa wao johnthebaptist na Lucas Mwashambwa lazima watabadili matokeo.Minaona tungefanya kupiga kura za maoni hapa Jf kidogo ingeonuesha uhalisia kama anakubalika ama hakubaliki
Wenyewe wanasema anapendwa. Sasa huwezi kuleta swali lisilohusiana na waleta hoja.Hapo ilibidi iwe kukubalika na,sio kupendwa maana hauwezi ukamchukia binadamu mwenzako.
Sijajua kama hilo jambo lina ukweli.Ninachojua ni watumishi wa umma husumbuliwa sana Samia na viongozi wengine wa CCM wanapofanya ziara katika wilaya zao.Huwa wanashinikizwa wawajaze watu maeneo atakapopita kiongozi husika au kuhutubia.Hii hufanyika hata kwenye matukio ya mwenge.Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.
Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
Kisirisiri hata machawa hawamtaki lakini Kwa sababu wanajiita chawa na wanajulikana ni machawa kula Yao Hadi boss wao ashibe avimbewe alale ndo waanze kunyonya damu.Anapendwa na chawa wake tu kwa vile wanapata manufaa binafsi toka kwake au utawala wake.
CCM wataiba kura. Chawa wao johnthebaptist na Lucas Mwashambwa lazima watabadili matokeo.
Kupendwa anapendwa Ila sijui km anakubalikaWenyewe wanasema anapendwa. Sasa huwezi kuleta swali lisilohusiana na waleta hoja.
Kama kweli anapendwa wafungue milango aanyetaka kuingia aingie😀😆😄Lakini kama form wakiweka mbili mama na mwijaku nakuambia mwijaku anashinda mapema mno
Vipi,ulipandishwa lori lenye usajili D au E kwenda kwenye kusanyiko?
Unaweka picha wakati OCD wa mpanda amezuia CHADEMA kufanya mikutano.
Mimi nimesemaHadi sasa hakuna aliyesema kwanini anapendwa. Wanaompenda hawapo humu jf?