Hii ilinitokea , nilimtumia mdogo wangu kama 200k kama salio la muda wa maongezi akapate bia sikukuu ,ikawa imetoka hivyoKama ni umeme wa mwezi maana yake hapo ni mpaka oktoba ndio atarudia kulipia
Umenikumbusha nilikuwa kampuni moja,jamaa badala ya kuniwekea Bando la 5,000 kwa internet, mwamba kakosea akaninunulia bando la 50,000,ikabidi aikave kiainaView attachment 3530827
Unaweza ukapiga yowe.
Hapo mpaka luku inashangaa leo vipiKama ni umeme wa mwezi maana yake hapo ni mpaka oktoba ndio atarudia kulipia
Huzuni kwa kweliHii ilinitokea , nilimtumia mdogo wangu kama 200k kama salio la muda wa maongozi akapate bia sikukuu ,ikawa imetoka hivyo
sio poa hahahaHivi ushawahi kutumiwa hela ya muhimu kwenye namba yenye deni la songesha
Halaf songesha wakatae kukukopesha tena
Halafu Airtime zamani ilikuwa fresh maana kulikuwa kunakuuza. Nakumbuka hii ilikuwa njia ya kutuma pesa, mtu anakutumia vocha, kisha unaenda uza.Sio mbaya sana imeenda kwenye Umeme yanazungumzika, ingekua ni kwa Salio la airtime sasa, 🤣🤣🤣 kambimbambo
Haina refund... Ila kununua Umeme wa 160k sio ishu sana. Kuliko kununua Salio la 160k muzeeeHalafu Airtime zamani ilikuwa fresh maana kulikuwa kunakuuza. Nakumbuka hii ilikuwa njia ya kutuma pesa, mtu anakutumia vocha, kisha unaenda uza.
Hivi Luku ni refundable?
Sijui atatumia miezi mingapi kama sio miaka, maana binafsi najiunga salio la 5,000 dakika 1000 na sizimalizi mwezi mzimaHaina refund... Ila kununua Umeme wa 160k sio ishu sana. Kuliko kununua Salio la 160k muzeee
Dk 1000 kwa mwezi haziishi? Utakua kijana barobaro wewe unapenda kuandika andika ..sisi Age go ni wapigaji sana tumechoka na hatuwezi kutype. 🤣🤣Sijui atatumia miezi mingapi kama sio miaka, maana binafsi najiunga salio la 5,000 dakika 1000 na sizimalizi mwezi mzima