Noma sana, halafu Ubaya wa salio ni wanaweza kupita nalo muda wowote usipoweka bando ya kuelewekaHii ilinitokea , nilimtumia mdogo wangu kama 200k kama salio la muda wa maongezi akapate bia sikukuu ,ikawa imetoka hivyo
Safi tu,si ndo utakaa muda mrefu zaidiView attachment 3530827
Unaweza ukapiga yowe.
Nyumba ya kupanga na unakaribia kuhama...Sio mbaya sana imeenda kwenye Umeme yanazungumzika, ingekua ni kwa Salio la airtime sasa, 🤣🤣🤣 kambimbambo
Napiga ila sina maongezi marefu sana,nikiongea sana labda dakika tanoDk 1000 kwa mwezi haziishi? Utakua kijana barobaro wewe unapenda kuandika andika ..sisi Age go ni wapigaji sana tumechoka na hatuwezi kutype. 🤣🤣