Kama unafanya kazi ili upate hela ushafeli maisha

Kama unafanya kazi ili upate hela ushafeli maisha

Mfano irrelevant kabisa ,maisha ya sasa ni magumu sana ...Yaani umaskini unaharibu mustakabali wote wa maisha yako ,hata hiyo familia hautaweza kukaa nayo vizuri .

Ndoa bila ya pesa basi jiandae kuivuruga mapema.
umri wako bado kuelewa logic nzima
 
Huyo Mo anajua upande mmoja tu wa shillingi - kuwa na mpunga mrefu tu. Hajui kabisa adha za upande mwingine.

Wakati yeye alienda US kirahisi tu kusoma chuo, kuna mtu Tanzania ameshindwa kusoma kwa kukosa mkopo wa elimu ya juu.

Wakati yeye alihitimu chuo akakabidhiwa usukani wa kuendesha biashara za thamani ya mabilioni, kuna mTz alimaliza chuo akakosa kazi akawa machinga au bodaboda kwanza. Mtu kama huyu ukimwambia atulie nyumbani aangalie ukuaji wa familia itawezekana vipi? Kuna ukuaji gani wa familia bila pesa???
hujawahi kuona mtu ameachiwa biashara na wazazi wake na zkafa?
 
sio lazima uwe MO ila umri unavoenda priorities znabadilika pakubwa sana, wapo watu wana hela zaidi ya MO lakini angalia maisha yao ya kila siku ni ya kawaida sana ni kwa sababu priorities znabadilika hata MO mwenyewe saahv anaisha maisha ya kawaida sana ila ambao hawajapata ela ndo wanapapatikia pesa za uyo anaeishi kawaida
Ni kweli usemacho, lakini tuwe wakweli

Wenye hela wanajulikana tu, lazima utawakuta wanawekeza maeneo tofauti tofauti ili kuongeza uzalishaji

Hata ikitokea wameaga Dunia, basi kizazi chao cha kwanza hadi cha tatu wataukuta utajiri
 
wenyewe hawafanyi kazi wanaajiri watu kufanya kazi
 
Kwa sisi tuliyozaliwa pasipo kukuta kitu yoyote ya kushika inapotokea umepata akili ya kutafuta pesa huwa ndiyo kipaumbele cha kwanza na vingine hufuata.

Watu tumeacha watoto tangu wapo darasa la nne hadi leo wapo chuo kikuu na hatujaonana nao kwa macho .

Yote hiyo nikuhakikisha nae asije akaanzia nilipoanzia.

Nikweli naweza kuwa ninemnyima mengi kwa kutokuwa nae karibu lakini baada ya kumaliza elimu yake hatakisa pakuanzia tofauti na wale waliyokuwa wakiambatana na wazazi wao tangu utoto wao.

Team hustle gonga like hapa kama tupo pamoja.
 
Kwa hiyo mkuu na wewe ukaingia mtego wa Moo? Aisee jomba tafuta hela kufa na kupona. Huyo Moo achana naye hakuna anachojua kuhusu kuishi maisha ya kimaskini.
 
ataanzia pale pale ulipoishia, akimaliza shule kituo kinachofuata ni ajira circle haiishii
 
Kwa hiyo mkuu na wewe ukaingia mtego wa Moo? Aisee jomba tafuta hela kufa na kupona. Huyo Moo achana naye hakuna anachojua kuhusu kuishi maisha ya kimaskini.
likewise ata wewe hujui maisha yanayohusiana na utaajiri hivo anachosema ana uzoefu nacho
 
Back
Top Bottom