Kama unafanya kazi ili upate hela ushafeli maisha

Mfano irrelevant kabisa ,maisha ya sasa ni magumu sana ...Yaani umaskini unaharibu mustakabali wote wa maisha yako ,hata hiyo familia hautaweza kukaa nayo vizuri .

Ndoa bila ya pesa basi jiandae kuivuruga mapema.
umri wako bado kuelewa logic nzima
 
hujawahi kuona mtu ameachiwa biashara na wazazi wake na zkafa?
 
Ni kweli usemacho, lakini tuwe wakweli

Wenye hela wanajulikana tu, lazima utawakuta wanawekeza maeneo tofauti tofauti ili kuongeza uzalishaji

Hata ikitokea wameaga Dunia, basi kizazi chao cha kwanza hadi cha tatu wataukuta utajiri
 
wenyewe hawafanyi kazi wanaajiri watu kufanya kazi
 
Kwa sisi tuliyozaliwa pasipo kukuta kitu yoyote ya kushika inapotokea umepata akili ya kutafuta pesa huwa ndiyo kipaumbele cha kwanza na vingine hufuata.

Watu tumeacha watoto tangu wapo darasa la nne hadi leo wapo chuo kikuu na hatujaonana nao kwa macho .

Yote hiyo nikuhakikisha nae asije akaanzia nilipoanzia.

Nikweli naweza kuwa ninemnyima mengi kwa kutokuwa nae karibu lakini baada ya kumaliza elimu yake hatakisa pakuanzia tofauti na wale waliyokuwa wakiambatana na wazazi wao tangu utoto wao.

Team hustle gonga like hapa kama tupo pamoja.
 
Kwa hiyo mkuu na wewe ukaingia mtego wa Moo? Aisee jomba tafuta hela kufa na kupona. Huyo Moo achana naye hakuna anachojua kuhusu kuishi maisha ya kimaskini.
 
ataanzia pale pale ulipoishia, akimaliza shule kituo kinachofuata ni ajira circle haiishii
 
Kwa hiyo mkuu na wewe ukaingia mtego wa Moo? Aisee jomba tafuta hela kufa na kupona. Huyo Moo achana naye hakuna anachojua kuhusu kuishi maisha ya kimaskini.
likewise ata wewe hujui maisha yanayohusiana na utaajiri hivo anachosema ana uzoefu nacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…