mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Ni kweli kabisa sifa na utu wa mtu upo kwenye kufanya kazi, lakini si kweli kila kazi inalipa , kazi nyingine zinakupotezea muda tu.
Kila kazi unayoifanya jitahidi sana kuifanyia tathimini inakupa nini kwenye maisha yako.
Je, inakupa pesa inayoendana na kasi na mabadiliko ya maisha duniani na kikubwa zaidi unapofanya kazi jiulize sana ni watu wangapi walioko mbele yako atleast wanaonekana kufanikiwa kupitia kazi unayoifanya( je kuna tajili mtaani kwenu anayofanya kazi kama hiyo)na hapa ndipo msingi wa huu uzi.
Nimekuwa nikifanya kazi hizi kwa muda wa miaka mingi,
1. nimeajiriwa as mwalimu wa serikali
2. nafanya kilimo & ufugaji ( hapa nafanya katika msingi wa biashara ) nalima, nafuga, nanunua mazao ya kilimo na mifugo kisha nauza( nilianza kulima kupitia mshahara wa ualimu) thanks GOD huwa nikijifanyia tathimini najiona nakua in terms of kipato pamoja na yote haya , vijana wengi wa umri wangu nipowambia mimi mwalimu au mkulima huwa wanahamaki na wanahisi natania.
Wengi wanamini kuitwa mwalimu na mkulima ni kufeli kimaisha, lakini je ualimu hauna future kabisa.
Je hakuna tajili hata mmoja ambaye anajihusisha na kilimo, vijana ninapowambia hivi vibanda ni matokeo ya ualimu na kilimo wananiona muongo wa karne.
Ukiwaona wao na kazi wanazofanya unagundua wengi wanapoteza muda tu.
Kwa mazingira niliyokuwepo wafanyabiashara na wakulima ndio wanasumbua mjini, lakini kazi nyingine wengi wanamaisha magumu , ukiwaondoa watumishi wa serikali unaona vijana wanavyo hustle na kupoteza muda tu.
Kwa mikoa yetu ya nyanda za juu kusini ukifanya kazi kama hizi unapoteza muda tu, utaishia kuvaa vizuri na kukamata mademu mjini ila uhalisia unabaki kuwa wewe ni mpuuzi tu, unafanya kazi ukitafakari peak ya mafanikio ya kazi yenyewe huoni cha maana.
Leo kipato kidogo, no pension, no bima ya afya, haukopesheki nk mfano kazi hizi ni kuwa baunsa ( haya majamaa sijui wanafikiria nini aisee , sijawahi kuona baunsa tajili , mara mwingine manager wa bar, dj wa bar.
Mara mwingine ni mwalimu wa mazoezi kule gym( trainer), mara mwingine kujifanya promoter , mwingine mpiga gitaa nk,l...........endelea kutaja kazi nyingine ambazo hujawahi kumuona hata tajili mtaani kwenu lakini wapo vijana wanafanya ili vijana wastuke na kuziacha na kutafuta kazi zenye future