D
DeletedMember281674
Guest
Uzinzi ni hazina ya ufukara na magonjwa
Duh. Unapiga mule mule, homa ya ini, UKIMWI, UTI Sugu, Gonorrhea, Syphilis, n.k.
Kila la kheri wapenda ngono katika safari yenu ya kutafuta magonjwa
Uzinzi ni hazina ya ufukara na magonjwa
Kama ingekua hivyo basi Diamond Platinum, Harmonize, Chris Brown na wengine wengi wa aina yake wangekua maskini wa kutupwa. Kinyume chake Wana pesa na maisha mazuri kuliko wewe mtoa maada.
Unataka kujifananisha na mastaa aisee hata pia wengi wao wanapoteza mtoa mada yupo sahihi ingawaje yeye katoa kwa watafutaji wanaojitafuta yupo sahihi sana..Kama ingekua hivyo basi Diamond Platinum, Harmonize, Chris Brown na wengine wengi wa aina yake wangekua maskini wa kutupwa. Kinyume chake Wana pesa na maisha mazuri kuliko wewe mtoa maada.
Weka video basi Mkuu, wanavyolazimisha,wanavyowapakaa kuumeni na wanavyojipakaa ukeni tuone..kama ni kweli...kweliiiiiiiWanawake Wana roga wanachukua nyota Yako bila wewe kujijua lile tendo la kugusanisha jasho linaondoka na nyota au destiny Yako bila wewe kujua.
Wengine Wanapewa mafuta na waganga wao wapake ukeni halafu wanakulazimisha na wewe wakupake kwenye uume wako hata kama utatimia kondomu kumbe masharti ya Mganga
Weka video wanavyolazimisha tuone..kama ni kweli...kwwliiiiiii
Afadhali useme wewe mkuuHizo zingine ni assumptions tu. Wengi hawafanyi uzinzi Wala uasherati lakini maisha yao ni magumu changamoto
Umeandika ukweli Mtupu, hasa hiyo namba 4Wakuu salamu,
Leo naomba tujiambie ukweli mchungu ambao wengi watauchukia, lakini ndio ukweli halisi. Kama wewe ni mwanaume au mwanamke unayeendekeza uzinzi na ngono zembe, sahau kabisa habari ya kufanikiwa kimaisha kwa njia halali ya jasho lako.
Ukiona mtu ni mzinzi wa kutupwa na bado ana ukwasi mkubwa, chunguza vizuri mfumo wa maisha yake. Utakuta aidha anasafiri na ndagu za waganga wa kienyeji, anajihusisha na utapeli (scams), au anafanya biashara haramu. Mafanikio ya halali na uzinzi hazitangamani.
Hizi hapa ni sababu kuu kwanini uzinzi utakuacha maskini:
1. Unapoteza Kibali na Baraka: Kiimani, uzinzi unakuondolea neema na mikosi inakuandama.
2. Mabadilishano ya Nuksi: Kila unayezini naye hubadilishana naye mifumo ya nishati; unabeba laana na mikosi yake.
3. Ufujaji wa Mtaji: Hakuna uzinzi wa bure. Pesa za guest, mizinga, na usafiri zinamaliza akiba yako.
4. Kupoteza Focus: Akili inayowaza ngono kila saa haiwezi kubuni mawazo mapya ya biashara au uwekezaji.
Kama unataka utajiri unaodumu na wenye amani ya moyo, fanya toba, tulia na mwenzi mmoja, na uweke nguvu kwenye kazi.
Nawasilisha wakuu. Je, unaamini kuna mtu anazini sana na anafanikiwa kwa njia halali kabisa?
SafiHuu ni ukweli kwa asilimia zote 100%. Ukiendekeza maisha ya kuruka ruka, unajichimbia kaburi la kiuchumi na kiafya mapema sana. Unateketeza pesa kwenye mahandaki yasiyo na tija. Pesa za kuhonga, gesti, pombe, na kuhudumia michepuko zingeweza kuwa mitaji ya biashara au uwekezaji wa baadae. Mwishowe unabaki huna akiba yoyote. Unajiweka hatarini kupata magonjwa ya zinaa (STIs) na virusi vya Ukimwi (VVU). Gharama za kutibu magonjwa haya, kupoteza nguvu kazi, na msongo wa mawazo (stress) vinakumaliza kabla ya wakati. Mtu anayeendekeza uzinzi hana amani ya akili. Unakosa utulivu wa kufanya maamuzi makubwa ya kifedha kwa sababu akili yako imetawaliwa na siri, uongo, na hofu ya kugundulika au kuugua. Kama unataka kuwa salama kiafya na kupiga hatua kiuchumi, funga milango ya hazina hii haramu. Tulia, jilinde, na wekeza pesa zako kwenye maendeleo.
Maswali yako mbona yana majibu tayari mkuu."Ukiona mtu ni mzinzi wa kutupwa na bado ana ukwasi mkubwa, chunguza vizuri mfumo wa maisha yake. Utakuta aidha anasafiri na ndagu za waganga wa kienyeji, anajihusisha na utapeli (scams), au anafanya biashara haramu. Mafanikio ya halali na uzinzi hazitangamani."
Kwahiyo mtu ukiwa na ndagu au tapeli au mfanya biashara haramu inakuwa unaweza kuishinda hali ya kuondokewa na baraka na neema? Unaweza kuishinda laana na mikosi?
Inakuwa hauwezi kufuja mtaji? Inakuwa hauwezi kupoteza focus kwenye biashara au kazi?
The bottom line line ni kuwa, ukitaka utajili usioe.Wakuu salamu,
Leo naomba tujiambie ukweli mchungu ambao wengi watauchukia, lakini ndio ukweli halisi. Kama wewe ni mwanaume au mwanamke unayeendekeza uzinzi na ngono zembe, sahau kabisa habari ya kufanikiwa kimaisha kwa njia halali ya jasho lako.
Ukiona mtu ni mzinzi wa kutupwa na bado ana ukwasi mkubwa, chunguza vizuri mfumo wa maisha yake. Utakuta aidha anasafiri na ndagu za waganga wa kienyeji, anajihusisha na utapeli (scams), au anafanya biashara haramu. Mafanikio ya halali na uzinzi hazitangamani.
Hizi hapa ni sababu kuu kwanini uzinzi utakuacha maskini:
1. Unapoteza Kibali na Baraka: Kiimani, uzinzi unakuondolea neema na mikosi inakuandama.
2. Mabadilishano ya Nuksi: Kila unayezini naye hubadilishana naye mifumo ya nishati; unabeba laana na mikosi yake.
3. Ufujaji wa Mtaji: Hakuna uzinzi wa bure. Pesa za guest, mizinga, na usafiri zinamaliza akiba yako.
4. Kupoteza Focus: Akili inayowaza ngono kila saa haiwezi kubuni mawazo mapya ya biashara au uwekezaji.
Kama unataka utajiri unaodumu na wenye amani ya moyo, fanya toba, tulia na mwenzi mmoja, na uweke nguvu kwenye kazi.
Nawasilisha wakuu. Je, unaamini kuna mtu anazini sana na anafanikiwa kwa njia halali kabisa?
Mbona mada imeeleza kila kitu.Mbona elon musk malaya na bangi anavuta lakini tajiri