UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,243
- 9,657
Mie sijaona hayo majibu mkuu ndio maana nikauliza.Maswali yako mbona yana majibu tayari mkuu.

Na tungetegemea hata huyo mwenye kufanya scams au biashara haramu naye anaweza kugharamika pia kutokana na uzinzi.Uzinzi unaweza kweli kumgharimu mtu muda, pesa, afya, mahusiano na hata focus yake kwenye maisha. Lakini si sahihi kusema kwamba kila anayefanya uzinzi hawezi kufanikiwa, au kwamba kila mzinzi mwenye mafanikio lazima anatumia ndagu, scams au biashara haramu.
Mtu anaweza kufanikiwa kwa sababu ya bidii, elimu, biashara, fursa na nidhamu hata kama ana mapungufu mengine katika maisha yake.
Kama Trump ni mzinzi na bado ni tajiri basi atakuwa anatumia ndagu au biashara haramu, kwa mujibu wa maelezo ya mleta mada.Vp trump ni masikini?
Siku hizi waganga ndio kila kitu kitu ndugu mchungaji so hayo mengine hayana madhara kabisaWakuu salamu,
Leo naomba tujiambie ukweli mchungu ambao wengi watauchukia, lakini ndio ukweli halisi. Kama wewe ni mwanaume au mwanamke unayeendekeza uzinzi na ngono zembe, sahau kabisa habari ya kufanikiwa kimaisha kwa njia halali ya jasho lako.
Ukiona mtu ni mzinzi wa kutupwa na bado ana ukwasi mkubwa, chunguza vizuri mfumo wa maisha yake. Utakuta aidha anasafiri na ndagu za waganga wa kienyeji, anajihusisha na utapeli (scams), au anafanya biashara haramu. Mafanikio ya halali na uzinzi hazitangamani.
Hizi hapa ni sababu kuu kwanini uzinzi utakuacha maskini:
1. Unapoteza Kibali na Baraka: Kiimani, uzinzi unakuondolea neema na mikosi inakuandama.
2. Mabadilishano ya Nuksi: Kila unayezini naye hubadilishana naye mifumo ya nishati; unabeba laana na mikosi yake.
3. Ufujaji wa Mtaji: Hakuna uzinzi wa bure. Pesa za guest, mizinga, na usafiri zinamaliza akiba yako.
4. Kupoteza Focus: Akili inayowaza ngono kila saa haiwezi kubuni mawazo mapya ya biashara au uwekezaji.
Kama unataka utajiri unaodumu na wenye amani ya moyo, fanya toba, tulia na mwenzi mmoja, na uweke nguvu kwenye kazi.
Nawasilisha wakuu. Je, unaamini kuna mtu anazini sana na anafanikiwa kwa njia halali kabisa?
Anasema hao ni kwa sababu utajiri wao ni wa kutumia uchawi au biashara haramu ndio maana ni matajiri, kwahiyo wewe ambaye ni mzinzi halafu hufanyi biashara haramu au kutumia uchawi huwezi kufanikiwa kuwa tajiri.Mbona naona kama kinyume wale wanakula mbususu za kila aina mbona ni kama ndio matajiri na sisi masikini wazee wakukomalia mbususu moja ni kama tunazidi kuwa masikini tu.
WE si mtu wa imani,je unamjua mfalme suleimani?kuna mwanaume katika historia aliwahi kuwa mzinzi kama huyo jamaa,ebu tupe mwenendo wa maisha yake kiuchumi ulikuaje ukulinganisha na wewe mleta mada usiyezini.Wakuu salamu,
Leo naomba tujiambie ukweli mchungu ambao wengi watauchukia, lakini ndio ukweli halisi. Kama wewe ni mwanaume au mwanamke unayeendekeza uzinzi na ngono zembe, sahau kabisa habari ya kufanikiwa kimaisha kwa njia halali ya jasho lako.
Ukiona mtu ni mzinzi wa kutupwa na bado ana ukwasi mkubwa, chunguza vizuri mfumo wa maisha yake. Utakuta aidha anasafiri na ndagu za waganga wa kienyeji, anajihusisha na utapeli (scams), au anafanya biashara haramu. Mafanikio ya halali na uzinzi hazitangamani.
Hizi hapa ni sababu kuu kwanini uzinzi utakuacha maskini:
1. Unapoteza Kibali na Baraka: Kiimani, uzinzi unakuondolea neema na mikosi inakuandama.
2. Mabadilishano ya Nuksi: Kila unayezini naye hubadilishana naye mifumo ya nishati; unabeba laana na mikosi yake.
3. Ufujaji wa Mtaji: Hakuna uzinzi wa bure. Pesa za guest, mizinga, na usafiri zinamaliza akiba yako.
4. Kupoteza Focus: Akili inayowaza ngono kila saa haiwezi kubuni mawazo mapya ya biashara au uwekezaji.
Kama unataka utajiri unaodumu na wenye amani ya moyo, fanya toba, tulia na mwenzi mmoja, na uweke nguvu kwenye kazi.
Nawasilisha wakuu. Je, unaamini kuna mtu anazini sana na anafanikiwa kwa njia halali kabisa?
Kwenye madaladala mnapo gusahisha mijasho na kupumuliana hii haihusiani au jasho la daladala nitofauti na la kitandani?Wanawake Wana roga wanachukua nyota Yako bila wewe kujijua lile tendo la kugusanisha jasho linaondoka na nyota au destiny Yako bila wewe kujua.
Wengine Wanapewa mafuta na waganga wao wapake ukeni halafu wanakulazimisha na wewe wakupake kwenye uume wako hata kama utatimia kondomu kumbe masharti ya Mganga
Kwahiyo kumbe uzinzi sio tatizo kama unavyotaka kutuaminisha hapa.Nawao wana matatizo mengine
Unaweza ukaletewa magonjwa na huyo mumeo unayemuanini humo ndoani kwako.Duh. Unapiga mule mule, homa ya ini, UKIMWI, UTI Sugu, Gonorrhea, Syphilis, n.k.
Kila la kheri wapenda ngono katika safari yenu ya kutafuta magonjwa
NdiyoKwenye madaladala mnapo gusahisha mijasho na kupumuliana hii haihusiani au jasho la daladala nitofauti na la kitandani?
Well saidWakuu salamu,
Leo naomba tujiambie ukweli mchungu ambao wengi watauchukia, lakini ndio ukweli halisi. Kama wewe ni mwanaume au mwanamke unayeendekeza uzinzi na ngono zembe, sahau kabisa habari ya kufanikiwa kimaisha kwa njia halali ya jasho lako.
Ukiona mtu ni mzinzi wa kutupwa na bado ana ukwasi mkubwa, chunguza vizuri mfumo wa maisha yake. Utakuta aidha anasafiri na ndagu za waganga wa kienyeji, anajihusisha na utapeli (scams), au anafanya biashara haramu. Mafanikio ya halali na uzinzi hazitangamani.
Hizi hapa ni sababu kuu kwanini uzinzi utakuacha maskini:
1. Unapoteza Kibali na Baraka: Kiimani, uzinzi unakuondolea neema na mikosi inakuandama.
2. Mabadilishano ya Nuksi: Kila unayezini naye hubadilishana naye mifumo ya nishati; unabeba laana na mikosi yake.
3. Ufujaji wa Mtaji: Hakuna uzinzi wa bure. Pesa za guest, mizinga, na usafiri zinamaliza akiba yako.
4. Kupoteza Focus: Akili inayowaza ngono kila saa haiwezi kubuni mawazo mapya ya biashara au uwekezaji.
Kama unataka utajiri unaodumu na wenye amani ya moyo, fanya toba, tulia na mwenzi mmoja, na uweke nguvu kwenye kazi.
Nawasilisha wakuu. Je, unaamini kuna mtu anazini sana na anafanikiwa kwa njia halali kabisa?
Acheni ubahili peleka motoAnasema hao ni kwa sababu utajiri wao ni wa kutumia uchawi au biashara haramu ndio maana ni matajiri, kwahiyo wewe ambaye ni mzinzi halafu hufanyi biashara haramu au kutumia uchawi huwezi kufanikiwa kuwa tajiri.
Hahaha,kweli watu mnajua kufikiria aisee!!"Ukiona mtu ni mzinzi wa kutupwa na bado ana ukwasi mkubwa, chunguza vizuri mfumo wa maisha yake. Utakuta aidha anasafiri na ndagu za waganga wa kienyeji, anajihusisha na utapeli (scams), au anafanya biashara haramu. Mafanikio ya halali na uzinzi hazitangamani."
Kwahiyo mtu ukiwa na ndagu au tapeli au mfanya biashara haramu inakuwa unaweza kuishinda hali ya kuondokewa na baraka na neema? Unaweza kuishinda laana na mikosi?
Inakuwa hauwezi kufuja mtaji? Inakuwa hauwezi kupoteza focus kwenye biashara au kazi?