Kama Unafanya Uzinzi Sahau Kufanikiwa Maisha (Labda kwa Kutumia Waganga au Utapeli)

Wakuu salamu,
Leo naomba tujiambie ukweli mchungu ambao wengi watauchukia, lakini ndio ukweli halisi. Kama wewe ni mwanaume au mwanamke unayeendekeza uzinzi na ngono zembe, sahau kabisa habari ya kufanikiwa kimaisha kwa njia halali ya jasho lako.

Ukiona mtu ni mzinzi wa kutupwa na bado ana ukwasi mkubwa, chunguza vizuri mfumo wa maisha yake. Utakuta aidha anasafiri na ndagu za waganga wa kienyeji, anajihusisha na utapeli (scams), au anafanya biashara haramu. Mafanikio ya halali na uzinzi hazitangamani.

Hizi hapa ni sababu kuu kwanini uzinzi utakuacha maskini:

1. Unapoteza Kibali na Baraka: Kiimani, uzinzi unakuondolea neema na mikosi inakuandama.

2. Mabadilishano ya Nuksi: Kila unayezini naye hubadilishana naye mifumo ya nishati; unabeba laana na mikosi yake.

3. Ufujaji wa Mtaji: Hakuna uzinzi wa bure. Pesa za guest, mizinga, na usafiri zinamaliza akiba yako.

4. Kupoteza Focus: Akili inayowaza ngono kila saa haiwezi kubuni mawazo mapya ya biashara au uwekezaji.

Kama unataka utajiri unaodumu na wenye amani ya moyo, fanya toba, tulia na mwenzi mmoja, na uweke nguvu kwenye kazi.

Nawasilisha wakuu. Je, unaamini kuna mtu anazini sana na anafanikiwa kwa njia halali kabisa?
100% Usisahau NO FAP, ENERGY TRANSMUTATION, SEMEN RETENTION Poor Brain dronedrake Mbaga Jr
 
Wanawake Wana roga wanachukua nyota Yako bila wewe kujijua lile tendo la kugusanisha jasho linaondoka na nyota au destiny Yako bila wewe kujua.

Wengine Wanapewa mafuta na waganga wao wapake ukeni halafu wanakulazimisha na wewe wakupake kwenye uume wako hata kama utatimia kondomu kumbe masharti ya Mganga
huu ni uzushi upuuzwe
 
Buda umesema ukweli mtupu, uzinzi ni kama kuweka hela yako kwenye moto, inaungua tu na huoni kitu. Nimeona watu wengi wakiharibu maisha yao kwa kuenda kuchezea familia za watu, wakadhani wanaendelea ila wanaanguka tu kimya kimya. Siri ya maisha ni kuweka akili yako kwenye kitu kinachokulisha, si kwenye vitanda vya watu. Mimi naona kuna wale wanaojua kutumia fursa vizuri wanaendelea, ila wanaozurura na wanawake wa watu wanaishia kufilisika na kuachwa wazi.
 
Kuna mzinzi kama Elon Mask tajiri wa universe? Tajiri hadi mbinguni na anakata mbususu kama hana akili nzuri tena bila kinga na anazalisha kabisa! Ukaririsho toka kwa mwamposa unaruhusiwa pia japo yeye analamba pia
 
Wakuu salamu,
Leo naomba tujiambie ukweli mchungu ambao wengi watauchukia, lakini ndio ukweli halisi. Kama wewe ni mwanaume au mwanamke unayeendekeza uzinzi na ngono zembe, sahau kabisa habari ya kufanikiwa kimaisha kwa njia halali ya jasho lako.

Ukiona mtu ni mzinzi wa kutupwa na bado ana ukwasi mkubwa, chunguza vizuri mfumo wa maisha yake. Utakuta aidha anasafiri na ndagu za waganga wa kienyeji, anajihusisha na utapeli (scams), au anafanya biashara haramu. Mafanikio ya halali na uzinzi hazitangamani.

Hizi hapa ni sababu kuu kwanini uzinzi utakuacha maskini:

1. Unapoteza Kibali na Baraka: Kiimani, uzinzi unakuondolea neema na mikosi inakuandama.

2. Mabadilishano ya Nuksi: Kila unayezini naye hubadilishana naye mifumo ya nishati; unabeba laana na mikosi yake.

3. Ufujaji wa Mtaji: Hakuna uzinzi wa bure. Pesa za guest, mizinga, na usafiri zinamaliza akiba yako.

4. Kupoteza Focus: Akili inayowaza ngono kila saa haiwezi kubuni mawazo mapya ya biashara au uwekezaji.

Kama unataka utajiri unaodumu na wenye amani ya moyo, fanya toba, tulia na mwenzi mmoja, na uweke nguvu kwenye kazi.

Nawasilisha wakuu. Je, unaamini kuna mtu anazini sana na anafanikiwa kwa njia halali kabisa?
Makaririsho tu.
Kwanza Uzinzi ni Aghali.
Utamlala nani siku hizi bila chochote.
Hicho Chochote umekipataje ikiwa wewe unaandamwa na nuksi na mikosi isiyoisha?
Vipi Wale watu wasiofungua zipu na msoto ni uleule.
Siku hizi karibu kila mwanamke ana bei,
Ni muuzaji indirectly.
Kwanini ni Dada poa tu ndio wawe main Shelter wa hiyo mikosi na nuksi?
 
Back
Top Bottom