Kama unahisi bei ya nyama ipo juu basi waulize wakazi wa Switzerland USD 44 kwa kilogram 1.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Screenshot_20250202-173651.png

Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
 
View attachment 3222429

Nadhani Tz ni nchi ya 3 kwa kuwa na ng'ombe wengi Afrika, unasemaje hapo ni sawa kununua kg kwa 10k ?
 
View attachment 3222429

Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Yaani mtu anaamua kuropokwa na maneno tu hata bila kushirikisha ubongo wako. Very poor indeed
 
View attachment 3222429

Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Thamani ya pesa inatokana na uchumi wa nchi. Unaweza kukuta hiyo ni buku jero tu kwa uchumi wa bongo.
 
View attachment 3222429

Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Google wakati mwingine inakupa wrong info. Tupo ground huku. Nyama naweza kuipata kwa euro 9 kwa kilo. Halafu nyama huku haziuzwi kama huko. Kila sehemu ya ng'ombe ina bei yake. Na kingine mshahara siyo kama huko. Hapa ukifanya kazi lisaa limoja tayari unapata fedha ya kununua kilo ya nyama.
 
Back
Top Bottom