Kama unahisi bei ya nyama ipo juu basi waulize wakazi wa Switzerland USD 44 kwa kilogram 1.

Kama unahisi bei ya nyama ipo juu basi waulize wakazi wa Switzerland USD 44 kwa kilogram 1.

View attachment 3222429

Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Unadhani Switzerland wanalipwa mshahara wa million moja kama Bongo ?
 
View attachment 3222429

Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Unazijua takwimu vizuri? Unajua mtu mmoja Uswiz anakula kilo ngapi za nyama kwa mwaka? Kisha linganisha na Mtanzania anakula kilo ngapi za nyama kwa mwaka ndio ulinganisha bei.
 
Google wakati mwingine inakupa wrong info. Tupo ground huku. Nyama naweza kuipata kwa euro 9 kwa kilo. Halafu nyama huku haziuzwi kama huko. Kila sehemu ya ng'ombe ina bei yake. Na kingine mshahara siyo kama huko. Hapa ukifanya kazi lisaa limoja tayari unapata fedha ya kununua kilo ya nyama.
Hongera unaishi mtoni
 
Mkuu mi nimebase kwenye bei ya nyama kuhusu tofauti ya uchumi ni jambo linguine

Hujui uchumi, uwezo mkubwa wa uchumi wa nchi na wananchi wake, ndio kigezo cha kuweza kununua bei ya commodities hata ziwe ghali, income yao ni kubwa sana per each individual in Swiss, sasa utalinganisha bei hata ya parachichi Swiss ni karibu 3 to 4 Swiss Fracs equivalent to $ 3.13 to $ 4.17 meaning parachichi in Swiss ni Tz 10,000

So uwezo wao ni tofauti na sisi, labda wewe mgeni humu duniani ndio mara yako ya kwanza kutembea nchi mbalimbali
 
View attachment 3222429

Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Watu wanaotumia mifano kama hii Huwa nawaona ni Wapumbavu wa Kiwango Cha juu Sana...!

Sasa ukimaliza hapo... Njoo utuwekee utofauti wa Viwango vya Mishahara kati ya Hiyo Nchi na Tanzania...!
 
Acha kulinganisha vitu viwili tofauti, sbb huelewi ni kama kukulinganisha uwezo wako wewe kifedha na mali zako vs Bahressa..!!

View attachment 3222434View attachment 3222443
Wakati Tanzania GDP ni kati ya 50 hadi 70. Maana yake Uswizi iko mara 10 zaidi kiuchumi kuliko Tanzania. Jamaa anataka alinganishe purchasing power ya Waswizi na watanzania kweli?

Yaani dona katri ailinganishe na ombaomba?
 
Fatilia pia na ulaji wa Nyama utajuwa wapi bei IPO juu katika ya hizo nchi mbili.
 
Hujui uchumi, uwezo mkubwa wa uchumi wa nchi na wananchi wake, ndio kigezo cha kuweza kununua bei ya commodities hata ziwe ghali, income yao ni kubwa sana per each individual in Swiss, sasa utalinganisha bei hata ya parachichi Swiss ni karibu 3 to 4 Swiss Fracs equivalent to $ 3.13 to $ 4.17 meaning parachichi in Swiss ni Tz 10,000

So uwezo wao ni tofauti na sisi, labda wewe mgeni humu duniani ndio mara yako ya kwanza kutembea nchi mbalimbali
Mkuu mbona Kila kitu kipo wazi kuwa Switzerland bei ya kilo ya nyama ipo juu kuliko mataifa mengine regardless ya ukubwa wa uchumi wao
 
Back
Top Bottom