BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,568
- 1,923
Demand and suply..mambo ya economics
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USD 4 na USD 44 Zinafanana?? Switzerland ndio nchi pekee yenye uchumi mkubwa?? Mbona mataifa mengine bei ipo chini ukilinganisha sio Kila kitu Cha kubishaUnazijua takwimu vizuri? Unajua mtu mmoja Uswiz anakula kilo ngapi za nyama kwa mwaka? Kisha linganisha na Mtanzania anakula kilo ngapi za nyama kwa mwaka ndio ulinganisha bei.
Nyie ndo mnatafuta sababu za KUPIGA pesa za Kodi na ruzuku aimake sense kulinganisha Tanzania na nchi yoyote nje ya Africa,View attachment 3222429
Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Toa ujinga wako.. kilo ya nyama ni universal kg ya nyama hapa kimara ndio hiyo hiyo kg1 ya nyama Europe utofauti mkubwa wa bei unaleta maswali uchumi unaweza kuwa jibu ila sio conclusionGifted fool...
Tatizo mnataka ligi isio na mantiki hii inaweza kuwa opportunity kwa wafugaji kufanya exportation ya nyama uswis wapate faidaNyie ndo mnatafuta sababu za KUPIGA pesa za Kodi na ruzuku aimake sense kulinganisha Tanzania na nchi yoyote nje ya Africa,
Mkuu elfu kumi Kwa Tanzania kuipata sio mchezo.View attachment 3222429
Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Sasa hapo inakuwa mpumbavu zaidiMkuu mi nimebase kwenye bei ya nyama kuhusu tofauti ya uchumi ni jambo linguine
Sababu your too inferiorHuwezi kujilinganisha na hawa
Ila sikushindi weweSasa hapo inakuwa mpumbavu zaidi
Wapi huko nyama elf 10? Mmebarikiwa…Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000
Sawa tuma salamu kizimkaziIla sikushindi wewe
Kwani Tanzania Ina day worker pekee?? Kuna businessman wakubwa kwa wadogo wafanyakazi wa public na private sector ambao elfu kumi sio kitu..Mkuu elfu kumi Kwa Tanzania kuipata sio mchezo.
Day worker hapa nchini analipwa 10,000 per day. Sasa ufanye kazi siku Moja unique nyama?
Hailinganishwaji kiivyo.
View attachment 3222429
Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Unapigwa bei 10000 hapa New York ya TZWapi huko nyama elf 10? Mmebarikiwa…
Huku mazee nyama mixer kg1 ni 12,000
Steak kg1 ni 15,000
Kwa hoja hiyo Unamaanisha pesa yetu Ina thamani kuliko ya EuropeMasuala ya Kiuchumi yanafaa yajadiliwe na watu wa Uchumi
Mfano; Mshahara wa Nesi wa kawaida Switzerland ni wastani wa shs 15Milion kwa mwezi
sasa unataka mtu huyo anunue nyama bei sawa na mtu mwenye mshahara wa shs laki tano kwa mwezi
Ukipitia kiuchumi unaweza kuta hizo bei ni nafuu kuliko kwetu tukiuziwa 12000kilo???