Kama unahisi bei ya nyama ipo juu basi waulize wakazi wa Switzerland USD 44 kwa kilogram 1.

Kama unahisi bei ya nyama ipo juu basi waulize wakazi wa Switzerland USD 44 kwa kilogram 1.

Kwani Tanzania Ina day worker pekee?? Kuna businessman wakubwa kwa wadogo wafanyakazi wa public na private sector ambao elfu kumi sio kitu..
Kundi la masikini na watu WA Bora mkono uende kinywani ni kubwa mno. 10 kwa 0.5 so si rahisi.
Elfu kumi ni hela kubwa hapa nchini.
 
View attachment 3222429

Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Per capita income tz v sw: 1, 234$ v 90,000$
Mtanzania ukinunua nyama 1kg kwa $4 ni mateso tu
 
Always as why ?

  • only Swiss meat is allowed to be sold in Switzerland, with a few exceptions like the expensive cuts that get imported mainly from Argentina - which still is expensive.
  • the country really specializes in dairy cattle. Cattle for meat is being raised, but not nearly as much.
  • Cattle are Grass-fed, in comparison Grass Fed beef in the U.S is considered an expensive luxury product, a niche commodity.
  • Grass fed cattle are not fattening up nearly as fast as animals being kept in feedlots, eating corn and soy.
  • Animal welfare laws in Switzerland are some of the most stringent on the planet. Cattle need to have access to pasture and need to be able to go outside even in winter. Their barns need to have straw on the floor, no floors with openings where the waste goes away by animals stepping on it are allowed. There are minimal space requirements for pigs as well. That precludes big operations with hundreds or thousands of heads.
  • There is meat from free-ranging animals that only eat organic feed. More expensive still.
  • Finally, ranchers, farmers, butchers and meat-sellers have decent salaries.
 
Kwa hoja hiyo Unamaanisha pesa yetu Ina thamani kuliko ya Europe

Spending power ya kwetu ni ndogo kwa sababu ya vipato vipo chini
Piga kwa parentage (Asilimia), ndio utaelewa;
Mtu mwenye Mshahara wa shs Mil 15 kwa mwezi akinunua nyama kwa shs Laki moja kwa kilo, ametumia kama 0.7% ya mshahara wake
Mtanzania mwenye Mshahara wa shs laki tano kwa mwezi; akinunua kilo moja shs 12,000 ni sawa na ametumia 2.4% ya mshahara wake. Mtanzania ametumia hela nyingi sana kutoka kwenye Mshahara wake (zaidi ya mara tatu ya yule wa Switzerland)
KINACHOSUMBUA WATU NI HESABU TU
 
Mwananyamala Kilo 1 ya nyama ni Elfu 10.....Maeneo ya Mbezi Beach ni Elfu 12.
 
View attachment 3222429

Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Hii ni mbinu ya mjinga kuhalalisha ujinga wake, ni sawa na mwenye Division IV ya 31 kujiona genius kisa kuna mtu amegonga zero.
Kwanini usijione unastahili kupata 1 kuliko kulemaza akili kwa kujifananisha na walio chini yako?
 
View attachment 3222429

Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Je umezingatia thamani ya pesa yao?, pato la mtu mmoja mmoja?
 
Back
Top Bottom