BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Hii ina mifupa. Ikiwa stake tupu kama wao inaweza kuwa dola 8View attachment 3222429
Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Nadhani Tz ni nchi ya 3 kwa kuwa na ng'ombe wengi Afrika, unasemaje hapo ni sawa kununua kg kwa 10k ?View attachment 3222429
Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Nchi mbili tofauti ila nyama ni Moja ya ngombeUsitufananishe sababu ni nchi mbili tofauti na zinatofautiana kwenye ufugaji.
Njoo na hoja nyingine.
Bado gape ni kubwa sana mkuuHii ina mifupa. Ikiwa stake tupu kama wao inaweza kuwa dola 8
Mkuu mi nimebase kwenye bei ya nyama kuhusu tofauti ya uchumi ni jambo linguineAcha kulinganisha vitu viwili tofauti, sbb huelewi ni kama kukulinganisha uwezo wako wewe kifedha na mali zako vs Bahressa..!!
View attachment 3222434View attachment 3222443
Yaani mtu anaamua kuropokwa na maneno tu hata bila kushirikisha ubongo wako. Very poor indeedView attachment 3222429
Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Mbona huwaUsitufananishe sababu ni nchi mbili tofauti na zinatofautiana kwenye ufugaji.
Njoo na hoja nyingine.
Thamani ya pesa inatokana na uchumi wa nchi. Unaweza kukuta hiyo ni buku jero tu kwa uchumi wa bongo.View attachment 3222429
Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Mimi na wewe nani anaropoka mkuuYaani mtu anaamua kuropokwa na maneno tu hata bila kushirikisha ubongo wako. Very poor indeed
Gifted fool...View attachment 3222429
Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Nini lilikuwa lengo lako kufananisha Tanzania na Switzerland katika kigezo cha nyama?Mimi na wewe nani anaropoka mkuu
Google wakati mwingine inakupa wrong info. Tupo ground huku. Nyama naweza kuipata kwa euro 9 kwa kilo. Halafu nyama huku haziuzwi kama huko. Kila sehemu ya ng'ombe ina bei yake. Na kingine mshahara siyo kama huko. Hapa ukifanya kazi lisaa limoja tayari unapata fedha ya kununua kilo ya nyama.View attachment 3222429