Kundi la masikini na watu WA Bora mkono uende kinywani ni kubwa mno. 10 kwa 0.5 so si rahisi.Kwani Tanzania Ina day worker pekee?? Kuna businessman wakubwa kwa wadogo wafanyakazi wa public na private sector ambao elfu kumi sio kitu..
Per capita income tz v sw: 1, 234$ v 90,000$View attachment 3222429
Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Kwa hoja hiyo Unamaanisha pesa yetu Ina thamani kuliko ya Europe
Huu ndio uzi utakaonyesha kwa nini itatuchukua miaka mingi kupata katiba mpyaUzi wa kupimia uwezo wa kufikiri wa watu.
Hii ni mbinu ya mjinga kuhalalisha ujinga wake, ni sawa na mwenye Division IV ya 31 kujiona genius kisa kuna mtu amegonga zero.View attachment 3222429
Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Afananishe na kima Cha chini Cha mshahara wa huko tulipwe hapa..Usitufananishe sababu ni nchi mbili tofauti na zinatofautiana kwenye ufugaji.
Njoo na hoja nyingine.
Je umezingatia thamani ya pesa yao?, pato la mtu mmoja mmoja?View attachment 3222429