Kama Unahisi Kupiga Sarakasi Kitandani kama Jet lii Kutamtuliza Mwanaume Mmefeli

Enheee...

Hapo sawa kabisa. Mi nimetoa mke sijaoa mbia wa maendeleo. Anipe nayoyahitaji ambayo siwezi kupewa na mama wala dada zangu... Akiamua kuchangia kwenye maendeleo hiyo ni added advantage
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Sawa babu maana na Umri si umesogea ulishobakisha mbele yako ni kaburi kwahiyo acha ujilie raha zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](Jus kidding)
Nimepitia huko ujanani pia. Nimeutumia ujana vizuri. Sina nilichopoteza so far.

Sasa hao wamama kama hamtaki wawakukurukie... wakija kwetu wazee basi muache gubu LOL.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....Ujumbe umefika mpaka Tanga.
 
Nimepitia huko ujanani pia. Nimeutumia ujana vizuri. Sina nilichopoteza so far.

Sasa hao wamama kama hamtaki wawakukurukie... wakija kwetu wazee basi muache gubu LOL.
Sawa babu ,wakija tutakuwa tunawaletea nyie wazee ,maana sie tunahitaji nguvu kazi za kupambana na kasi ya jpm
 
hehehehe......sawa kabisa
 
Mbona Hao wapiga sarakasi wamekuwa chachu Kwenye kuvuruga ndoa zenu na Hao vichwa unaowasema kila siku mnawaliza na kuwaacha. Tatizo LA wanaume mnachokitafuta hamkijui bado na mkikipata hamkithamini.

Dhumuni la ndoa ni kuondoa zinaa Kwenye Jamii. Mengine ni mbwembwe. Kila mmoja achague kipendacho roho yake.

Haina maana ya ndoa Uoe Mwenye Akili kilichofanya Nyinyi mfunge ndoa hauridhiki nacho utachepuka tu na ndipo balaa linapoanzia.
 
Nasema sio kusemewa.
Kama kichwan upo vizur huna kidomodomo nakupa ruhusa ya kunshawishi anytime
 
Sawa mie mcheza kareti simstaki maana sina mpango wa kufunguwa chuo cha kareti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…