Kama Unahisi Kupiga Sarakasi Kitandani kama Jet lii Kutamtuliza Mwanaume Mmefeli

Wanaume hamtoshekagi.... Ukipigiwa sarakasi maneno... ukilaliwa gogo style maneno. Sielewagi wanaume wanataka nini. Kitandani ni muda wa mapenzi, kuliwazana, kufurahishana na kufarijiana. Issue ya madini kichwani ni jambo jingine jipyaaa kwa wakati wake.
 
wengi tuko hivyo amini usimani basi kama hao wacheza judo wangekuwa ndo tunawhitaji basi wasingezagaa mtaani
Unajuaje Kama waliojaa mitaani wacheza Judo?? Usimchukulie mtu muonekano wa nje na ndani sawa!!
 
Ni kweli kabisa mkuu...ila vingine wasizidishe viwe kiasi
 
Kwani hao uliowataja mleta mada ni wapiga sarakisi au actors?
 
punguza povu ,
Mungu hawezi kukupa vyote ukawa judo ww ,kichwani pia zimo hiyo kitu hamna
 
Unajuaje Kama waliojaa mitaani wacheza Judo?? Usimchukulie mtu muonekano wa nje na ndani sawa!!
mimi simchukulii mtu kwa muonekano ,ila nazungumza kwa uzoefu ,Sikulazimishi kukubaliana na nnachosema ,maana mawazo huwa huru ziko zote
 
punguza povu ,
Mungu hawezi kukupa vyote ukawa judo ww ,kichwani pia zimo hiyo kitu hamna

Kuruka machejo na kunfuu nako unapewa na Mungu? mfundishe mkeo ni ngoma gani unataka uchezewe... atakuchezea tu
 
Ni kweli mkuu ila kuna wengine kichwani hawani kitu hivyo sehemu yao ya kujinadi ni kitandani tu na usiombe umkute anayejua kupiga sambasoti mbona huu uzi utakuja kuufuta mwenyewe, wote wanahusika ndo maana dini ya kiislamu inaruhusu kuwa nao wanne kama ukiweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…