Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
- Thread starter
-
- #61
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Hamjielewi nini mnataka
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Ni kweli na ndomana wanatumia hizo judo kama silaha zao na hawa wako wengi na ndomana maisha yamekuwa magumuNi kweli mkuu ila kuna wengine kichwani hawani kitu hivyo sehemu yao ya kujinadi ni kitandani tu na usiombe umkute anayejua kupiga sambasoti mbona huu uzi utakuja kuufuta mwenyewe, wote wanahusika ndo maana dini ya kiislamu inaruhusu kuwa nao wanne kama ukiweza
Mi hayo masarakasi tu yanatosha, hayo ya maendeleo hata mwenyewe ntafanya, teh!Wote wanahitajika..Kila mmoja kwa nafasi yake..
Naona uko upande wa mtoa mada hahahaUmenena kweli mtoa mada
Yaani wewe ni mimi kabisaaaEnheee...
Hapo sawa kabisa. Mi nimetoa mke sijaoa mbia wa maendeleo. Anipe nayoyahitaji ambayo siwezi kupewa na mama wala dada zangu... Akiamua kuchangia kwenye maendeleo hiyo ni added advantage
Nikipajii ambacho mungu anampa mtu....Kuruka machejo na kunfuu nako unapewa na Mungu? mfundishe mkeo ni ngoma gani unataka uchezewe... atakuchezea tu
kumbe hongera zako [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ndio hata me nimepita sehemu nyingi tena mafundi kama mabinti wa Kimakonde ila kuna sehemu nimenasa mwaka wa nne sasa sitoki tena yeye anakuambia kabisa kwa mwezi buku 30 inatosha hizo zingine fanya mambo ya Maendeleo.
Nimuendelezo wake [emoji4] [emoji4] [emoji4]Je hii mada inahusika na yaliyojiri mapema wiki hii kwenye kile kituo kile cha stesheni ya watu?
Mwanamke hata awe na madini kichwani kiasi gani ....lakini kama KITANDANI ziro....au hana maneno matamu hesabu umeumia mkuu...kama mwanamke anapaswa awe na madini mengi mbona wasomi wanaoa wanawake wa kawaida tu...na kuwaacha wanawake wenye MASTERS..na degree zao?mwanamke ni KITULIZO na KIBURUDISHO kwa mwanamme....hata awe na madini gani kama hana sifa na KUMTULIZA MWANAMME amefeli....Wewe Cheza kareti ,Cheza judo kitandani ,Ruka samba soti kama bluce Lee,Nin'ginia kwenye kitanda kama jack chan, Binuka msamba kama Van Dame ,Kama hujatuliza akili na kujua nini mwanaume Anataka ,Utaishia kuchezewa tu...
Kwa kifupi wanaume Tunahitaji mwanamke Mwenye madini mengi kichwani na Si madini mengi Kitandani..
Tunahitaji mwanamke kichwa, Ambae Ataweza kukutoa mahali fulani na kukupeleka mahali kwingine.
Mchango wa Mwanamke katika mafanikio Ya mwanaume yeyote Duniani ni Mkubwa Sana ,na Ndomana ukiangalia wengi walo fanikiwa Nyuma yao kuna mwanamke Imara.
Wanaume Wengi Tunataka mwanamke Madhubuti ,na Si Mcheza kareti ama Judo ,Tunahitaji zaidi ya Haya kwa mwanamke...
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]πππ Mwalimu mzuri hufundisha kwa mifano jadidu
Mkuu maana yangu ni hivi wapi wanawake wa mjini wanaona kuwa fundi ndo kila kitu ,yaan wanahisi wanaume tunachohitaji ni ufundi tu kitandani basii.Mwanamke hata awe na madini kichwani kiasi gani ....lakini kama KITANDANI ziro....au hana maneno matamu hesabu umeumia mkuu...kama mwanamke anapaswa awe na madini mengi mbona wasomi wanaoa wanawake wa kawaida tu...na kuwaacha wanawake wenye MASTERS..na degree zao?mwanamke ni KITULIZO na KIBURUDISHO kwa mwanamme....hata awe na madini gani kama hana sifa na KUMTULIZA MWANAMME amefeli....