Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
- Thread starter
-
- #81
hahaha sawa kiongoziDah......madini ya chini ni LAZIMA.....lakini ya juu ni nyongeza tu.....hii ni kwa wanaume wa KWELI[emoji87]
mimi simaanishi kwamba awe na elimu nachosema awe na akili ya maisha tu basiiiUsomi si kipimo cha madini. Anaweza kuwa msomi lakini njozi zake ni zake za ponda mali kifo chaja na siyo kumsupport mwenza wake wafikie njozi yake.
Hata wale wasiokuwa na masters au bachelor degree wanaweza kuwa na madini wanayohitaji wanaume ili kumsupport na kufikia njozi 'vision' zake na wala siyo kwa sababu wenye degree kuwa ni wabovu pale kati.
ziroooo kabisaaaaNa mnavyowasifia wanawake wa kitanga je?!
Up stairs wakoje?!
asante mkuuSafi,umeongea point
umeona eeee
Kavideo kidgo ingenoga sanaWewe Cheza kareti ,Cheza judo kitandani ,Ruka samba soti kama bluce Lee,Nin'ginia kwenye kitanda kama jack chan, Binuka msamba kama Van Dame ,Kama hujatuliza akili na kujua nini mwanaume Anataka ,Utaishia kuchezewa tu...
Kwa kifupi wanaume Tunahitaji mwanamke Mwenye madini mengi kichwani na Si madini mengi Kitandani..
Tunahitaji mwanamke kichwa, Ambae Ataweza kukutoa mahali fulani na kukupeleka mahali kwingine.
Mchango wa Mwanamke katika mafanikio Ya mwanaume yeyote Duniani ni Mkubwa Sana ,na Ndomana ukiangalia wengi walo fanikiwa Nyuma yao kuna mwanamke Imara.
Wanaume Wengi Tunataka mwanamke Madhubuti ,na Si Mcheza kareti ama Judo ,Tunahitaji zaidi ya Haya kwa mwanamke...
Hapo nimekupata mkuu.....Mkuu maana yangu ni hivi wapi wanawake wa mjini wanaona kuwa fundi ndo kila kitu ,yaan wanahisi wanaume tunachohitaji ni ufundi tu kitandani basii.
sina maana kwamba wajuzi wa kitandani hawahitajiki la hasha ila si kigezo pekee
Asante sana..Enheee...
Hapo sawa kabisa. Mi nimetoa mke sijaoa mbia wa maendeleo. Anipe nayoyahitaji ambayo siwezi kupewa na mama wala dada zangu... Akiamua kuchangia kwenye maendeleo hiyo ni added advantage
vipi tena mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mmmh, nyoka mzee