Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

wape wengene hiyo fulsa ukiwaeleza abc za hiyo biashara isije potea bure
 
Umenishawishi sana kiongozi ila hujataja bei ya kila nguo!
Bei inategemea na quality ya beli nililofungua kwa mfano nguo za watoto kila moja inakuwa na bei yake. Ila viblause naweza kuanzia 10,000 kwa kimoja vikishachaguliwa sana nashusha nafanya 5000. Magauni naanzia 10,000 - 15,000 na unakuta beli la magauni linakuwa na kg 100 hivyo nguo no nyingi
 
Belo la nguo za watoto grade one bei gani
 
ANGALIZO
Biashara pia inategemea vitu viwili muhim, kama kuna mchungaji unaemwamin sali Sana. Kama unamganga unaemwamin roga sana, usiwe vuguvugu

huu ni ukweli mchungu ambao wengi wataupinga
Hiyo mindset ndio tatizo la wengi. Kuamini biashara lazima uchawi au mchungaji akuombee ni potofu. Siri kubwa ni eneo sahihi kwa huduma sahihi na mtegemee MUNGU.

Linapokuja suala la ushindani hapo ndipo unapaswa kuwa makini. Mteja anapenda anapofika umthamini kwa kumuona yeye ni wa muhimu mpe attention, fanyia kazi mapungufu yoyote watakayo kuambia. Hivi wangapi mmewahi hata kuweka Kisanduku cha maoni ya wateja wenu hasa kama wewe ukai katika biashara yako? Kama uweki ina maana unaamini biashara yako ni perfect kitu ambacho ni kosa kubwa.

Achana na wachawi, wenyewe watakugeuza fursa faida yote irudi kwao mwisho utayumba. Lakini pia kila utakapopata majaribu hutoamini kama ni challenge za biashara.
 
Mkuu,
Umezungumzia kuhusu kukodi kijana.

Huyo kijana atakuwa ni muuzaji au mbebaji mzigo au kazi yake ni ipi hasa?
 
asilimia kubwa ya wanaofeli dar, kinachowaponza zaidi ni kukataa kukubali kua kuna mikoa mingine unaeza ukapiga sana pesa kuliko hata dar.. wanabaki wanasema wanakomaa na jiji kuna ishu wanaisikilizia [emoji23]


Ukiona nnavyomsumbukia huyu bidada sasa ..utadhan nimezaliwa tumbo moja..nampenda coz ni mpambanaji...ila ndo hatak kutoka dar .amekuwa asrma hvyhvyo naskilizia misje fulani!nimemwambiaga soon mtaanza kutuita mafree mason😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…