Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Hapo chini gawanya kwa siku 31 za August. Halafu hiyo ofisi moja ziko tatu hizo zenye performance inayo karibiana. Uzuri ni kwamba hizi wala hazina kazi nimechanganya na stationeries zinaingiza zaidi kuliko hizo kila moja.
 
Mkuu hiyo 90k umetoa gharama za maji na umeme pamoja na posho kwa wafanyakazi.? Hiyo ni faida au mapato
 
Aiseee
Nauza mkorogo [emoji23][emoji23] vifaa vinanigarimu 50000 natoa kopo 10, kila kopo nauza 25000. Kwa siku naweza kuuza kopo mbili mpk nne. Wateja Facebook na Instagram. Na business nyingine ila hii ndio inanipa faida kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…