Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa


Bado haujaelezea iyo biashara zaidi unazunguka tu maelezo mengi saidia wengine katika uzi huu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu kila mkoa kuna fursa zake sasa nikikwambie business ambayo nafanya afu ukute ata mkoan kwako haipo mkuu

Ebu mkuu kaa na biashara yako Moyoni , walio na uhitaji watakuja pembua hapa kwa kina ninachoona kutoka kwako unaleta ligi za kujibiwa wewe hauna msaada wowote kwa jamii inayokuzunguka kama unaisi utaibiwa idea yako kaa nayo.

Watu utoa idea za biashara ila jinsi zinavyoendeshwa ndivyo mtu awezi sema au siri ya kile anachokifanya wewe ata idea utaki haina faida hapa katika jukwaa ili zaidi tunaona unajikosha tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu habarini ninamtaji laki 7... nahitaji kufahamu wapi naweza pata nguo kali za kike za mtumba kwa kuchagua mojamoja kuja kuuza mkoani iringa (sihitaji belo sababu ya hofu ya quality za nguo).....

Mwenye connection Nzuri tushirikishane jinsi wanavyopata hizo nguo kali maana ajira zitatuua masikini...

Kama unaushauri wa biashara tofauti nahii kwa mtaji huo nitashukuru ukinijuza

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa mzee baba...but tulia tu hapahapa utapata wazo la biashara
Ila niseme kweli Jamiiforomus ndo inmenifanya saiv napata hiki kidogo ninacho ingiza kwahyo cyo mbaya kuendelea kupata mawazo yenu. Ni kweli ukiangalia nyuz zangu nilikuwa nalaumu but saiv nasema hata Mungu ananiona naridhika na nikipatacho kwa siku naingiza ata 8,000 kidogo maisha naona nimeanza upya tofauti na kipindi nimeanza likizo ya Corona. Niliona kitaa hakufai kabsaaaa

Endeleeen kunipa madini ila saiv nimeanza kufuga nimeanza na mitetea 5 wa chotara mbegu ya Israel na jogoo 1 ila yenyew n Malawi. Kwahyo kwa kudra na Mungu nitasonga mbeleeee
 
Mkuu umemng'ang'ania .hahaaa .....! Huyu dogo jinsi navyomsomaga ana akili ya biashara akiamua atasimama kbs sema anaendekeza wamama watu wazima na bia! Kufeli nje nje!
Ni kweli kabsa mkuu kama hapa napanga niende zangu mitaa fulan hapa mwanza nikapige konyagi moja ya 4000 afu nichukue na jimama 1 ili kesho nianze kaz akili ikiwa imetulia tuliiiii
 
dahhh, kumbe ni mwanachuo anayelala ndani tu anatupotezea muda[emoji2]
Mkuu maisha yanadilika, kwan mwanachuo ndiye analala? Boss n kwamba napambana na ipo cku pia nitapata ajira rasmi kwahyo maisha yanabadilika uckalili

Acha wivuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…