Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Vipi mkuu bado unaendelea na hii fani au uliacha baada ya kutoboa kimaisha?!
 


Sorry boss., alitufurahisha!πŸ‘Š
 
Unazunguka sana weka vitu watu wajifunze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona porojo nyingi, eleza hiyo biashara
 
Usisikilize sauti za watu wa nje yako sikiliza sautu inayo toka ndani mwako na ifanyie kazi.ifahamike mimi kwa sasa namiliki nyumba 5 hata kama ni za kawaida lakini chanzo ni ufundi wa cm namiliki duka la spare paty za pkpk chanzo ni ufundi cm acheni kujidanga eti kunauchawi hakuna ni fikira za kijinga kabisa tufanye kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…