Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Hii ni biashara nzuri sana ukiwa makin kuiendesha na kuwa mkarimu kwa wateja wako
 
Mkuu naomba madini kwenye hili, nimemfungulia mke wangu saluni ya kike natamani tu introduce hiki kitu ulichokua unakifanya ila sina ABC,

Naomba unielekeze ili nami niwe natengeneza wife aweke saluni mwake

Nitashukuru sana ukinisaidia katika hili

Ahsante
 
Tusubiri thikukuu iishe bro
Nimependa unavyompambania mkeo
Usijali ..nitakufundisha Tena vile ana salon atapiga Sana pesa.
 
Jamani biashara sio kitu kirahisi hivyo mnavyofikiria biashara haitengenezwi kwa maneno ni vitendo na biashara sio kimbilio la wajinga biashara ukiwa ndani yake ndio unapata kuielewa biashara zinautofauti wake mfano biashara nyingi za bidhaa
maji,soda,sigara.........hawa wenye hivi viwanda wanatajirika kwa kumtumia wholesaler na wholesaler anapewa idadi ya mzigo wa kununua kiwandani na wenye viwanda ni wajanja wanakupa kafaida kadogo iliuweunapush mizigo kwa wingi maana faida ni ndogo anayokupa kwaiyo ni lazima utumie nguvu nyingi kwenye mauzo iliuwe unaagiza mzigo kwa muda na kwa wingi maana mwenye kiwanda anamtaka wholesaler maana yeye ndio ananunua mzigo kwa wingi apo wholesaler anadeal na retailer maana ndio mteja wake uyo na biashara ya bidhaa unatakiwa uangalie sana kodi ya frem ilimtaji wako usivutane na frem yako na ujitahidi sana usifanye matumizi makubwa maana biashara zinahitaji muda iliziweze kujizalisha biashara nyingine ni zile biashara ambazo sio za bidhaa mfano saloon ya kiume,kike,car wash,laundry...........hizi nazo ni biashara nzuri sema uanzaji wake unakuwaga na changamoto mfano biashara ya saloon ya kiume inahitaji uitengeneze kisasa zaidi pili zingatia location sehemu iwe na parking nzuri utafute kinyozi mwenye jina ambaye anawateja wake wa kutosha maana nadhani kwenye suala la kunyoa nadhani kwa sisi wanaume tumezoea kwenda kwa kinyozi uliemzoea maana fikra zetu zinaamini kwamba ndio kinyozi anaweza akakunyoa nywele zako vizuri huwa hatupendi kubadilisha kinyozi na saloon pia lakini kama unaanzisha biashara ya saloon zingatia location,kinyozi mwenye wateja,tengeneza saloon iwe na huduma zakutosha,weka wadada apo najaribu kugusia mifano michache kitu kingine kinachoweza kutufelisha huwa hatutafuti soko kuelewa soko la biashara unayotaka kufanya huwa tunaamuaga kufungua biashara pasipo kulielewa soko lake vizuri tutaendelea kupeana masomo ya kibiashara.................
 
Tusubiri thikukuu iishe bro
Nimependa unavyompambania mkeo
Usijali ..nitakufundisha Tena vile ana salon atapiga Sana pesa.
Asante sana sana dada Rumaiya, nitakukumbusha sikukuu zikiisha

Najitahidi ili asiwe mpweke kukaa nyumbani bila kazi
 

Dada mpambanaji nimependa hii biashara ya urembo hususani cheni,hereni,perfumes..naomba unisaidie machaka kwa K/koo nitapoweza kupata bidhaa hizo kwa bei ya kitanzania
 
Mkuu naomba unitext pm sikupati

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nipe ruhusa ni Ku PM
 
Naomba unichek whasap kwa namba hii : 0767543624, naona PM hapa JF zinasumbua sijui wana shida gani, Asante.
 
Useful thread. Starting today I'll read page after page until the last one and by the time I've finished it, I'll see if I've got any idea that might be useful to me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…