Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Biashara ya kukuingizia hiyo faida na inaweza kuzidi

Ila sio chini ya 30k

Ni BODA BODA ila tu hiyo piki piki iwe yako na Uendeshe wewe mwenyewe.

Biashara nyingine ni

Biashara yangu ya kuingiza nyimbo kwenye memory card na kuwafungulia

whatsapp kina mama na kina baba wasio jua tumia simu zao.

Nakuja tena subiri nifikirie zingine.
Hii ni biashara nzuri sana ukiwa makin kuiendesha na kuwa mkarimu kwa wateja wako
 
Miezi miwili iliyopita nilikua najihusisha na biashara ya vipodozi vya usoni vya wanawake..nilikua natumia mtaji wa tsh 30000 kwa siku nilikua naweza kupata wateja si chini ya 5 hadi 6 na kila bidhaa nilikua nauza 30000.. kwahiyo nilikua napata hadi laki na nusu faida..ila tatizo ilikua inachosha Sana na nilivyopumzika ndiyo nikapumzika mazima.
Mkuu naomba madini kwenye hili, nimemfungulia mke wangu saluni ya kike natamani tu introduce hiki kitu ulichokua unakifanya ila sina ABC,

Naomba unielekeze ili nami niwe natengeneza wife aweke saluni mwake

Nitashukuru sana ukinisaidia katika hili

Ahsante
 
Tusubiri thikukuu iishe bro
Nimependa unavyompambania mkeo
Usijali ..nitakufundisha Tena vile ana salon atapiga Sana pesa.
 
Jamani biashara sio kitu kirahisi hivyo mnavyofikiria biashara haitengenezwi kwa maneno ni vitendo na biashara sio kimbilio la wajinga biashara ukiwa ndani yake ndio unapata kuielewa biashara zinautofauti wake mfano biashara nyingi za bidhaa
maji,soda,sigara.........hawa wenye hivi viwanda wanatajirika kwa kumtumia wholesaler na wholesaler anapewa idadi ya mzigo wa kununua kiwandani na wenye viwanda ni wajanja wanakupa kafaida kadogo iliuweunapush mizigo kwa wingi maana faida ni ndogo anayokupa kwaiyo ni lazima utumie nguvu nyingi kwenye mauzo iliuwe unaagiza mzigo kwa muda na kwa wingi maana mwenye kiwanda anamtaka wholesaler maana yeye ndio ananunua mzigo kwa wingi apo wholesaler anadeal na retailer maana ndio mteja wake uyo na biashara ya bidhaa unatakiwa uangalie sana kodi ya frem ilimtaji wako usivutane na frem yako na ujitahidi sana usifanye matumizi makubwa maana biashara zinahitaji muda iliziweze kujizalisha biashara nyingine ni zile biashara ambazo sio za bidhaa mfano saloon ya kiume,kike,car wash,laundry...........hizi nazo ni biashara nzuri sema uanzaji wake unakuwaga na changamoto mfano biashara ya saloon ya kiume inahitaji uitengeneze kisasa zaidi pili zingatia location sehemu iwe na parking nzuri utafute kinyozi mwenye jina ambaye anawateja wake wa kutosha maana nadhani kwenye suala la kunyoa nadhani kwa sisi wanaume tumezoea kwenda kwa kinyozi uliemzoea maana fikra zetu zinaamini kwamba ndio kinyozi anaweza akakunyoa nywele zako vizuri huwa hatupendi kubadilisha kinyozi na saloon pia lakini kama unaanzisha biashara ya saloon zingatia location,kinyozi mwenye wateja,tengeneza saloon iwe na huduma zakutosha,weka wadada apo najaribu kugusia mifano michache kitu kingine kinachoweza kutufelisha huwa hatutafuti soko kuelewa soko la biashara unayotaka kufanya huwa tunaamuaga kufungua biashara pasipo kulielewa soko lake vizuri tutaendelea kupeana masomo ya kibiashara.................
 
Tusubiri thikukuu iishe bro
Nimependa unavyompambania mkeo
Usijali ..nitakufundisha Tena vile ana salon atapiga Sana pesa.
Asante sana sana dada Rumaiya, nitakukumbusha sikukuu zikiisha

Najitahidi ili asiwe mpweke kukaa nyumbani bila kazi
 
Nlianza biashara ya urembo wa wanawake bila mtaji wa maana, naweza kusema kama haikuwa 30000 basi haizidi 50,0000, naweza kusema nlianza nikiwa chuo mwaka wa pili. Hapa ni baada ya kujaribu biashara ya viatu vya kimaasai mwaka wa kwanza nikiwa naagiza Kenya baadae supplier wangu akapotea ghafla na biashara yangu ikawa imeishia hapo. Nmesoma mpaka mwaka wa tano nafanya hii biashara ya urembo nikiwa nawauzia wanachuo wenzangu. Kusema ukweli biashara ile ndo ilinitunza mpaka namaliza masomo yangu. Nilikuwa nshakuwa na market kubwa mnooo. Kipindi nipo mwaka wa tano ndo corona ikatokea. Aisee nlikuwa nmeagiza mzigo China, nmewaagizia pia na watu mpaka tunaongea hapa mzigo haujawahi kufika. Nlipata hasara kubwa mno nkarudi zero.
Sasa hivi ndo narudi kidogo kidogo, nafanya biashara bila mtaji na duka nlishafunga. Kwa siku naweza kuingiza faida ya 20000 mpaka 30000. Tarehe za mishahara nishazoea kuingiza laki, elfu themanini tena kwa mkupuo. Nmeshindwa kusimama tena haraka apart from faida ninayoingiza kwa sababu ya madeni, ni vile niliwaagizia watu mizigo na ndo hivyo nkapata hasira kwa hiyo shida imekuwa kulipa madeni na mimi sio mtu wa kukaa kwa amani ili hali nkijua kuna mtu ananililia hela ake, lakin namshukuru Mungu almost 80% nmelipa.
Nimependa pia kuchangia kwenye uzi huu ila biashara ya urembo wa wanawake inalipa. Na siwez kujua kinachonisaidia ni ile market ambayo nlishajijengea tangu 2017 au ni baada ya kupata matatizo nmejifunza mambo mengi, nmepata machimbo ya kufa mtu Kariakoo ata sasa hivi siwazagi kuagiza mzigo China na bado suppliers wangu wananiamin kunipa ata pc moja kwa bei ya jumla. Lakini hii style inachosha sana sana.
Naamini kama kuna mtu hana liabilities wala madeni kama mimi hii biashara inaweza kumtoa kwa mtaji mdogo kabla hujawaza mitaji ya mamilioni huko.
Maana on my side ni kama nafanya bila ya kuwa na mtaji wowote. Hapa nimeongeza na biashara ya perfume nayo inanilipa na kitu cha kwanza uwa natengeneza uaminifu mkubwa na masupplier ili nikitaka ata moja wanipe kwa bei ya jumla

Dada mpambanaji nimependa hii biashara ya urembo hususani cheni,hereni,perfumes..naomba unisaidie machaka kwa K/koo nitapoweza kupata bidhaa hizo kwa bei ya kitanzania
 
Mkuu naomba unitext pm sikupati

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nipe ruhusa ni Ku PM
 
Naomba unichek whasap kwa namba hii : 0767543624, naona PM hapa JF zinasumbua sijui wana shida gani, Asante.
 
Back
Top Bottom