Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 1,412
- 1,669
Labda kwa miaka kadhaa ijayoKeep it up bro unaweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kwa miaka kadhaa ijayoKeep it up bro unaweza
Hii ni biashara nzuri sana ukiwa makin kuiendesha na kuwa mkarimu kwa wateja wakoBiashara ya kukuingizia hiyo faida na inaweza kuzidi
Ila sio chini ya 30k
Ni BODA BODA ila tu hiyo piki piki iwe yako na Uendeshe wewe mwenyewe.
Biashara nyingine ni
Biashara yangu ya kuingiza nyimbo kwenye memory card na kuwafungulia
whatsapp kina mama na kina baba wasio jua tumia simu zao.
Nakuja tena subiri nifikirie zingine.
Mkuu naomba madini kwenye hili, nimemfungulia mke wangu saluni ya kike natamani tu introduce hiki kitu ulichokua unakifanya ila sina ABC,Miezi miwili iliyopita nilikua najihusisha na biashara ya vipodozi vya usoni vya wanawake..nilikua natumia mtaji wa tsh 30000 kwa siku nilikua naweza kupata wateja si chini ya 5 hadi 6 na kila bidhaa nilikua nauza 30000.. kwahiyo nilikua napata hadi laki na nusu faida..ila tatizo ilikua inachosha Sana na nilivyopumzika ndiyo nikapumzika mazima.
Tusubiri thikukuu iishe broMkuu naomba madini kwenye hili, nimemfungulia mke wangu saluni ya kike natamani tu introduce hiki kitu ulichokua unakifanya ila sina ABC,
Naomba unielekeze ili nami niwe natengeneza wife aweke saluni mwake
Nitashukuru sana ukinisaidia katika hili
Ahsante
Nlianza biashara ya urembo wa wanawake bila mtaji wa maana, naweza kusema kama haikuwa 30000 basi haizidi 50,0000, naweza kusema nlianza nikiwa chuo mwaka wa pili. Hapa ni baada ya kujaribu biashara ya viatu vya kimaasai mwaka wa kwanza nikiwa naagiza Kenya baadae supplier wangu akapotea ghafla na biashara yangu ikawa imeishia hapo. Nmesoma mpaka mwaka wa tano nafanya hii biashara ya urembo nikiwa nawauzia wanachuo wenzangu. Kusema ukweli biashara ile ndo ilinitunza mpaka namaliza masomo yangu. Nilikuwa nshakuwa na market kubwa mnooo. Kipindi nipo mwaka wa tano ndo corona ikatokea. Aisee nlikuwa nmeagiza mzigo China, nmewaagizia pia na watu mpaka tunaongea hapa mzigo haujawahi kufika. Nlipata hasara kubwa mno nkarudi zero.
Sasa hivi ndo narudi kidogo kidogo, nafanya biashara bila mtaji na duka nlishafunga. Kwa siku naweza kuingiza faida ya 20000 mpaka 30000. Tarehe za mishahara nishazoea kuingiza laki, elfu themanini tena kwa mkupuo. Nmeshindwa kusimama tena haraka apart from faida ninayoingiza kwa sababu ya madeni, ni vile niliwaagizia watu mizigo na ndo hivyo nkapata hasira kwa hiyo shida imekuwa kulipa madeni na mimi sio mtu wa kukaa kwa amani ili hali nkijua kuna mtu ananililia hela ake, lakin namshukuru Mungu almost 80% nmelipa.
Nimependa pia kuchangia kwenye uzi huu ila biashara ya urembo wa wanawake inalipa. Na siwez kujua kinachonisaidia ni ile market ambayo nlishajijengea tangu 2017 au ni baada ya kupata matatizo nmejifunza mambo mengi, nmepata machimbo ya kufa mtu Kariakoo ata sasa hivi siwazagi kuagiza mzigo China na bado suppliers wangu wananiamin kunipa ata pc moja kwa bei ya jumla. Lakini hii style inachosha sana sana.
Naamini kama kuna mtu hana liabilities wala madeni kama mimi hii biashara inaweza kumtoa kwa mtaji mdogo kabla hujawaza mitaji ya mamilioni huko.
Maana on my side ni kama nafanya bila ya kuwa na mtaji wowote. Hapa nimeongeza na biashara ya perfume nayo inanilipa na kitu cha kwanza uwa natengeneza uaminifu mkubwa na masupplier ili nikitaka ata moja wanipe kwa bei ya jumla
Mkuu naomba unitext pm sikupatiNlianza biashara ya urembo wa wanawake bila mtaji wa maana, naweza kusema kama haikuwa 30000 basi haizidi 50,0000, naweza kusema nlianza nikiwa chuo mwaka wa pili. Hapa ni baada ya kujaribu biashara ya viatu vya kimaasai mwaka wa kwanza nikiwa naagiza Kenya baadae supplier wangu akapotea ghafla na biashara yangu ikawa imeishia hapo. Nmesoma mpaka mwaka wa tano nafanya hii biashara ya urembo nikiwa nawauzia wanachuo wenzangu. Kusema ukweli biashara ile ndo ilinitunza mpaka namaliza masomo yangu. Nilikuwa nshakuwa na market kubwa mnooo. Kipindi nipo mwaka wa tano ndo corona ikatokea. Aisee nlikuwa nmeagiza mzigo China, nmewaagizia pia na watu mpaka tunaongea hapa mzigo haujawahi kufika. Nlipata hasara kubwa mno nkarudi zero.
Sasa hivi ndo narudi kidogo kidogo, nafanya biashara bila mtaji na duka nlishafunga. Kwa siku naweza kuingiza faida ya 20000 mpaka 30000. Tarehe za mishahara nishazoea kuingiza laki, elfu themanini tena kwa mkupuo. Nmeshindwa kusimama tena haraka apart from faida ninayoingiza kwa sababu ya madeni, ni vile niliwaagizia watu mizigo na ndo hivyo nkapata hasira kwa hiyo shida imekuwa kulipa madeni na mimi sio mtu wa kukaa kwa amani ili hali nkijua kuna mtu ananililia hela ake, lakin namshukuru Mungu almost 80% nmelipa.
Nimependa pia kuchangia kwenye uzi huu ila biashara ya urembo wa wanawake inalipa. Na siwez kujua kinachonisaidia ni ile market ambayo nlishajijengea tangu 2017 au ni baada ya kupata matatizo nmejifunza mambo mengi, nmepata machimbo ya kufa mtu Kariakoo ata sasa hivi siwazagi kuagiza mzigo China na bado suppliers wangu wananiamin kunipa ata pc moja kwa bei ya jumla. Lakini hii style inachosha sana sana.
Naamini kama kuna mtu hana liabilities wala madeni kama mimi hii biashara inaweza kumtoa kwa mtaji mdogo kabla hujawaza mitaji ya mamilioni huko.
Maana on my side ni kama nafanya bila ya kuwa na mtaji wowote. Hapa nimeongeza na biashara ya perfume nayo inanilipa na kitu cha kwanza uwa natengeneza uaminifu mkubwa na masupplier ili nikitaka ata moja wanipe kwa bei ya jumla
Nimetuma PM imekubaliNaletewa sijui this method needs to be achieved in inherited classe. Kuna shida sijaelewa what they need
Nipe ruhusa ni Ku PMNlianza biashara ya urembo wa wanawake bila mtaji wa maana, naweza kusema kama haikuwa 30000 basi haizidi 50,0000, naweza kusema nlianza nikiwa chuo mwaka wa pili. Hapa ni baada ya kujaribu biashara ya viatu vya kimaasai mwaka wa kwanza nikiwa naagiza Kenya baadae supplier wangu akapotea ghafla na biashara yangu ikawa imeishia hapo. Nmesoma mpaka mwaka wa tano nafanya hii biashara ya urembo nikiwa nawauzia wanachuo wenzangu. Kusema ukweli biashara ile ndo ilinitunza mpaka namaliza masomo yangu. Nilikuwa nshakuwa na market kubwa mnooo. Kipindi nipo mwaka wa tano ndo corona ikatokea. Aisee nlikuwa nmeagiza mzigo China, nmewaagizia pia na watu mpaka tunaongea hapa mzigo haujawahi kufika. Nlipata hasara kubwa mno nkarudi zero.
Sasa hivi ndo narudi kidogo kidogo, nafanya biashara bila mtaji na duka nlishafunga. Kwa siku naweza kuingiza faida ya 20000 mpaka 30000. Tarehe za mishahara nishazoea kuingiza laki, elfu themanini tena kwa mkupuo. Nmeshindwa kusimama tena haraka apart from faida ninayoingiza kwa sababu ya madeni, ni vile niliwaagizia watu mizigo na ndo hivyo nkapata hasira kwa hiyo shida imekuwa kulipa madeni na mimi sio mtu wa kukaa kwa amani ili hali nkijua kuna mtu ananililia hela ake, lakin namshukuru Mungu almost 80% nmelipa.
Nimependa pia kuchangia kwenye uzi huu ila biashara ya urembo wa wanawake inalipa. Na siwez kujua kinachonisaidia ni ile market ambayo nlishajijengea tangu 2017 au ni baada ya kupata matatizo nmejifunza mambo mengi, nmepata machimbo ya kufa mtu Kariakoo ata sasa hivi siwazagi kuagiza mzigo China na bado suppliers wangu wananiamin kunipa ata pc moja kwa bei ya jumla. Lakini hii style inachosha sana sana.
Naamini kama kuna mtu hana liabilities wala madeni kama mimi hii biashara inaweza kumtoa kwa mtaji mdogo kabla hujawaza mitaji ya mamilioni huko.
Maana on my side ni kama nafanya bila ya kuwa na mtaji wowote. Hapa nimeongeza na biashara ya perfume nayo inanilipa na kitu cha kwanza uwa natengeneza uaminifu mkubwa na masupplier ili nikitaka ata moja wanipe kwa bei ya jumla
KaribuNipe ruhusa ni Ku PM
Ni pm maana naseach jina lako naona kuna majina mawili yote yanafananaKaribu
Nn kimetokea wadau mbona inatoke hii kitu kama unam search memberText mojawapo ata hi ntaona. Mimi kwangu inagoma. Hiki ndo kitu naletewa kwa kila mtu nikisearchView attachment 2459147
Naomba unichek whasap kwa namba hii : 0767543624, naona PM hapa JF zinasumbua sijui wana shida gani, Asante.Nlianza biashara ya urembo wa wanawake bila mtaji wa maana, naweza kusema kama haikuwa 30000 basi haizidi 50,0000, naweza kusema nlianza nikiwa chuo mwaka wa pili. Hapa ni baada ya kujaribu biashara ya viatu vya kimaasai mwaka wa kwanza nikiwa naagiza Kenya baadae supplier wangu akapotea ghafla na biashara yangu ikawa imeishia hapo. Nmesoma mpaka mwaka wa tano nafanya hii biashara ya urembo nikiwa nawauzia wanachuo wenzangu. Kusema ukweli biashara ile ndo ilinitunza mpaka namaliza masomo yangu. Nilikuwa nshakuwa na market kubwa mnooo. Kipindi nipo mwaka wa tano ndo corona ikatokea. Aisee nlikuwa nmeagiza mzigo China, nmewaagizia pia na watu mpaka tunaongea hapa mzigo haujawahi kufika. Nlipata hasara kubwa mno nkarudi zero.